donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Jamaa hakuona kama ni apple kamili?? Au wenge la iphoneKuna mmoja aliuziwa i Phone moja kali sana, ila wauzaji walisahau kulimega apple upande mmoja, likawa apple kamili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Alipofika kwake ndio aliliona ila pale Kariakoo wajanja wengi, tena aliuziwa mkononiJamaa hakuona kama ni apple kamili?? Au wenge la iphone
Duh ata angeona wameweka papai angenunua tu hiyo ndyo kariakoooAlipofika kwake ndio aliliona ila pale Kariakoo wajanja wengi, tena aliuziwa mkononi