Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Kumbe huyu ndie babake na baba swalehe?
ulikuwa hujui? huyo ndio baba yake haswaa...Kumbe huyu ndie babake na baba swalehe?
hahaha...hv ile dis track ya le mutuz haijatoka tu?Hahahahaaa watu wabaya sana.
Ila ukisikiliza ule wimbo wa Nick ni kama kamuimbia jamaa Le Mutuz kabisa.
Hasa pale "unajisifu una mabebez kama Mswati....."
Ndio tunaisikilizia mkuu.hahaha...hv ile dis track ya le mutuz haijatoka tu?