Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Hivi hata mbuzi jike huwa ana pembe?huyo ni mbuzi kweli.....?....amekaa kishetani sana........hana pembe......
Pembe lipi la juu au la chinihuyo ni mbuzi kweli.....?....amekaa kishetani sana........hana pembe......
Huyu atakuwa wa Dar tu, maana hata ugali, pizza, bugger, kababu, wao twende tu.
Wiki iliyopita nilimkuta mmoja anakunywa SUPU ya pweza.
Aisee mbona unaniangusha, wapogo tu, kule kwetu Monduli wapo wa kila aina ila hawalagi hivyo vituhuyo ni mbuzi kweli.....?....amekaa kishetani sana........hana pembe......