Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,401
- 4,370
Nimeshangaa sana! Ombaomba wa kike anahojiwa na CH ten, anatangaza mgomo wa. Kurudi kwao kwa madai kuna njaa na kumtaka eti Magufuli awaletee usafiri na chakula huko kwao, Wakati akihojiwa mkononi ameshika smartphone! Hawa ni ombaomba kweli au wahuni?