Makamba amemuandaa Nani achen assumption, Nani huwa anaandaa marais?
Ingekuwa president ni MEMBE ningesema labda, lakin kwa huyu, usishangae anateua tu
Upande wa chadema baadaeChanganua na upande wa Chadema tuone
Umemtaja namba 19 Mkuu. Wewe kiboko nimeipenda ndoto yako.Majaliwa hayupo Ila nadhan atakaye chukua form nimemsahau makonda pia
Nili editUmemtaja namba 19 Mkuu. Wewe kiboko nimeipenda ndoto yako.
Ngoja tuoneMwigulu Nchemba Rais 2025 Nape na Bashe watapigwa chini kwenye Chama na kuhamia CHADEMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano Nani hapo hajatajwa? Majaliwa?Ukiacha mzee wa Msoga, wagombea wote wa CCM ni surprise kwa wananchi. Huwa wanaleta kile msichotegemea kabisa
KabisaKale ka nyimbo ka tuna imani na fulani........katapita na mtu naona
KabisaKuna story moja ya Isaac Asimov, Science Fiction, nafikiri ni "Franchise".
Wamarekani wametengeneza computer ambayoiko so advanced,inawauliza watu maswali mengi sana,halafu, badala ya kuwa na uchaguzi, inateua mtu mmoja tu apige kura,na kura ya mtu huyo inakuwa imewakilisha vizuri kura za Wamarekani wote.
Kuna mtu anaitwa Norman Miller, anateuliwa na computer ya Multivac kuwa ndiye atapiga kura kwa niaba ya Wamarekani wote katikauchaguzi wa mwaka 2008 (hizi stories ni za kutoka 1940s, kwa hiyo 2008 waliona miaka mingi sana mbele)
Nikikumbuka hii story, naona kama sisi hatuna computer ya Multivac ituchagulie mtu wa kutuchagulia rais, lakini Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa ndiye mtu ambaye atatuchagulia kwa namna moja au nyingine.
Namba ya membehihihihi nimecheka hapo kwenye darasa la saba alafu mwagima KUISAKA namba ya MEMBE kwanini ? membe Hana bilion 10 wewe
Hahaha haruhusiwiHiyo List ya wagombea wa CCM umemsahau Lowassa, akikatwa chadema anarudi CCM
HakikaNimecheka sana nilipoona jina LA makonda, unataka kusema mkulu atalikata kweli anavyompenda?
History so nzuri kwa mawaziri wakuu,
Msuya,
Malechela
Sumaye
Lowassa,
Hivyo majaliwa sahau
SureTumeshaona.....Mzee Mwinyi ameshaanza kumsifia JPM ana maana yake....kama sio bara basi Shein muda wake umeisha na yule Balozi mdomo umeshaelekea baja....hana lake saa hii awaachie wenzake!! Hussein akienda Zbar....Bara usishangae lolote laweza tokea....!!! Aliandaliw JM sijui takuwaje!!