Pale mwenyekiti wa CCM 2025 atakapokuja na majina matano bora mfukoni kamati kuu Dodoma

Kaa hivyo hivyo!! JM na Mwigulu ni viongozi wa baadae! JM ndio kabisa.........anapikwa ameanza kupikwa tangu Mkapa.......kama hutaki basi
Makamba amemuandaa Nani achen assumption, Nani huwa anaandaa marais?
Ingekuwa president ni MEMBE ningesema labda, lakin kwa huyu, usishangae anateua tu
 
Ukiacha mzee wa Msoga, wagombea wote wa CCM ni surprise kwa wananchi. Huwa wanaleta kile msichotegemea kabisa
 
Kuna story moja ya Isaac Asimov, Science Fiction, nafikiri ni "Franchise".

Wamarekani wametengeneza computer ambayoiko so advanced,inawauliza watu maswali mengi sana,halafu, badala ya kuwa na uchaguzi, inateua mtu mmoja tu apige kura,na kura ya mtu huyo inakuwa imewakilisha vizuri kura za Wamarekani wote.

Kuna mtu anaitwa Norman Miller, anateuliwa na computer ya Multivac kuwa ndiye atapiga kura kwa niaba ya Wamarekani wote katikauchaguzi wa mwaka 2008 (hizi stories ni za kutoka 1940s, kwa hiyo 2008 waliona miaka mingi sana mbele)

Nikikumbuka hii story, naona kama sisi hatuna computer ya Multivac ituchagulie mtu wa kutuchagulia rais, lakini Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa ndiye mtu ambaye atatuchagulia kwa namna moja au nyingine.
 
Kabisa
 
Tumeshaona.....Mzee Mwinyi ameshaanza kumsifia JPM ana maana yake....kama sio bara basi Shein muda wake umeisha na yule Balozi mdomo umeshaelekea baja....hana lake saa hii awaachie wenzake!! Hussein akienda Zbar....Bara usishangae lolote laweza tokea....!!! Aliandaliw JM sijui takuwaje!!
Sure
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom