Pale mipango inapofeli!!!!!!!!

hahahahah si bora angemvamia tu amvue, ila hiyo ni hatua ya kwanza nadhani next time atapanga chabo bora zaidi
 
hahahahah si bora angemvamia tu amvue, ila hiyo ni hatua ya kwanza nadhani next time atapanga chabo bora zaidi

Mwanamke ana majinguvu huyo, si umeona ameondoka na kipande cha benchi.
 
Huyo binti kafunga msumeno kwenye makalio au ???
 
stand ya kwanza muhimbili alafu atanikuta mimi namsubiri kumbandua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…