laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,983
- 9,760
Mpemba ataongezewa hela ya pango lazima akubali tu ruzuku sasa hivi Lipumba anaicontrolJibu litapatikana soon, yule mpemba mwenye jengo kasema mwisho wa mkataba ni mwezi huu na haongezi mkataba. Hapo ndo tutajua analindwa lipumba au ofisi.