Pale Buguruni analindwa Lipumba au CUF?

Pale Buguruni analindwa Lipumba au CUF?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,932
Reaction score
51,050
Ule ulinzi uliopo pale kwenye Ofisi Kuu ya CUF Buguruni ni wa kulinda ili Ofisi ya chama hicho isiharibiwe au ni ya Kumlinda Lipumba asing'olewe madarakani? Ulinzi kama ule upo pale Mtendeni mtaa wa Vuga yalipo Makao Makuu ya CUF au hakuna? Kama haupo ni ishara gani kwa kinachoendelea ndani ya CUF.

Ina maana aliye kwenye hatari ya kudhurika ni Lipumba na Ofisi aliyomo na si Maalim Seif na Ofisi anayoitumia kama Katibu Mkuu? Hivi wale wanoingia mle kama wako kinyume na Lipumba wanaposhambuliwa hakuna sheria inayowalinda na hao washambuliaji mbona hawakamatwi. Nani anatoa maelekezo na kusimamia ulinzi ule na kwa faida ya nani? Je Kodi za Watanzania zinatumika kwa kazi hiyo?
 
Mbabe wa Kivita Prof. Lipumba kafanikiwa kwa asilimia zaidi ya 75%.
Ile over reaction ya kina Seif ilionesha kabisa wame loose control.
Mara Mtatiro, Mara kina Mbowe, Mara baraza la wadhamini, Mara Team facebook Mara team Wanawake lakin Prof kala Buyu tu anachapa kazi!
 
Dah! Kafanikiwa kwenye nini wewe!? Kafanikiwa kwenye kufanya uhuni na ujambazi huku akikingiwa kifua na polisiccm. Acha kukurupuka na kuandika pumba. Kuna sheria za vyama vya siasa na vyama hivyo vina katiba zao ambazo msajili wa vyama ni lazima aziheshimu. Msajili wa vyama vya siasa nchini angekuwa anafanya kazi zake kwa kufuata taratibu za kazi zake badala ya kushinikizwa na dikteta uchwara huyo mamluki na msaliti wa vyama vya upinzani angekuwa ameshaamrishwa kuondoka katika ofisi za CUF siku nyingi kama si kuondolewa kwa nguvu. Acha kukurupuka na kuandika PUMBA.

Akili zilizoshikwa na UKUTA wa Luwassa zina matatizo sana. Hivi zile ni ofisi za CUF au CDM au Lipumba?
 
Mbabe wa Kivita Prof. Lipumba kafanikiwa kwa asilimia zaidi ya 75%.
Ile over reaction ya kina Seif ilionesha kabisa wame loose control.
Mara Mtatiro, Mara kina Mbowe, Mara baraza la wadhamini, Mara Team facebook Mara team Wanawake lakin Prof kala Buyu tu anachapa kazi!
Ikumbuke hii post yako
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jibu litapatikana soon, yule mpemba mwenye jengo kasema mwisho wa mkataba ni mwezi huu na haongezi mkataba. Hapo ndo tutajua analindwa lipumba au ofisi.
 
Dah! Kafanikiwa kwenye nini wewe!? Kafanikiwa kwenye kufanya uhuni na ujambazi huku akikingiwa kifua na polisiccm. Acha kukurupuka na kuandika pumba. Kuna sheria za vyama vya siasa na vyama hivyo vina katiba zao ambazo msajili wa vyama ni lazima aziheshimu. Msajili wa vyama vya siasa nchini angekuwa anafanya kazi zake kwa kufuata taratibu za kazi zake badala ya kushinikizwa na dikteta uchwara huyo mamluki na msaliti wa vyama vya upinzani angekuwa ameshaamrishwa kuondoka katika ofisi za CUF siku nyingi kama si kuondolewa kwa nguvu. Acha kukurupuka na kuandika PUMBA.

Upumbavu ni kuwaza Mawazo yako ndio kamusi sahihi ya kufasiri Matukio yote ya Kisiasa !
 
Utawala wa nchi unamlinda Prof ili afanikishe kazi aliyopewa ya kukidhohofisha chama
 
Back
Top Bottom