PabbyMontana
Member
- Jun 27, 2014
- 59
- 119
Mkuu hii unayo zungumzia ni JetAudio Plus.Raha ya Power Amp ni DSP Pack Audio enhancer.
Kama upo vizuri kuequalize fanya ujaribu Dolby Atoms.
mlejesho nazani hii crack nayo aipo vizuri saana uwezi amini nime download na ku install aijachukua ata dk 5 kitu kimezingua awa developer wa paweramp wamejipanga sana kwa kwel itabidi ni nunue tuWakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...
Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..
Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..
View attachment 848786View attachment 848787
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nunua tu mkuu mimi nilinunua tokea may mpk leo sina jammlejesho nazani hii crack nayo aipo vizuri saana uwezi amini nime download na ku install aijachukua ata dk 5 kitu kimezingua awa developer wa paweramp wamejipanga sana kwa kwel itabidi ni nunue tu View attachment 851325
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice mkuu...hii crack kwangu haijawah kupata shida....so far nitanunua nipate updatesmlejesho nazani hii crack nayo aipo vizuri saana uwezi amini nime download na ku install aijachukua ata dk 5 kitu kimezingua awa developer wa paweramp wamejipanga sana kwa kwel itabidi ni nunue tu View attachment 851325
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie ni music enthusiast.Huwa sipendi mziki wa makelele so natumiaga player zenye Equalizer kupunguza mids.Aisee Mkuu hii kitu ni balaa inagonga kama sony music theatre 1000watts...
Naona kuna mdau hapo anasema ina play na video lakni nikijaribu ku play video inatoka audio tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha kinoma man, et usitegemee kupata experience ya beats kwenye ofia. hahaha!Mkuu mbona hyo ku tumia player full kweny lock screen ni minor feature sana,kuhusu upigaji kama wa earphone za beats na zingine,mi nafkri kama una earphone mbovu ni mbovu tu,usitegemee utapata beats experiance kweny ofia,
Ukitaka kuenjoy tafuta earphone zinazoeleweka tu kisha set sound yako.
Kwangu poweramp ndio best player hadi sasa..pia angalia rate,reviews,na downloads za hizi apps ,utajua poweramp ndio pendwa,View attachment 849035View attachment 849036
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Na hii ndio sababu sijawahi ipenda iphone!Uko serious? Unaitaka kwenye ios? Kama jibu ni ndio kwanza jua ios hauwezi chukua kitu nje ya market na poweramp iliyopo kwenye market ni kama hii hapo chini kwenye picha.
So kama utataka ya nje ya applestore itabidi uchukue maamuzi magumu kwanza
-jailbreak hiyo iphone os
Baada ya hapo utaweza ku install apps za nje ya market ya apple ila ni too risk .View attachment 849050
Jet audio ni mziki mwingine ule!
Hio DSP ndipo uchawi wenyewe ulipo. Bila hio sound ya kiboya still!Raha ya Power Amp ni DSP Pack Audio enhancer.
Kama upo vizuri kuequalize fanya ujaribu Dolby Atoms.
Acha kabisa mkuu, imenifanya nasahau kabisa adha ya good sound.Jet audio ni mziki mwingine ule!
[emoji122][emoji122]Mie ni music enthusiast.Huwa sipendi mziki wa makelele so natumiaga player zenye Equalizer kupunguza mids.
Kuna player inaitwa comet player. Inapiga mziki kuliko player yoyote uliowahi kuijua toka ujio wako hapa duniani. Ubaya ni kwamba developers wake hawakuiendeleza tena kuja kwa mfumo wa .apk! Ipo available kwa pc tu mpaka leo inakuwaga packed na player inayoitwa MPC Star.
Ndio player yenye equalizer kali kuliko zote ambazo nimeziona na kuzitumia.
Second best player with EQ ni Winamp pro. Hii haifanyi vyema kwenye baadhi ya androids versions za kisasa, EQ inakuwa inactive so huwezi ku tune mziki.
Third kuna DSP player moja ilitolewa na Cynaogen mod ya galaxy s3 ni balaa. Mpaka kesho naitaftaga sipati iko embedded kwenye ile rom.
Fourth ni N7 player ukipata premium utainjoy. Hii android zote iko mwake.
Fifth kuna NRG player pia ukipata ilio full inagonga kichizi ukifanya tuning ya Equalizer.
Sixth ni Jet audio ila upate ilio full utainjoy ma reverbs na bass.
Halafu wengine wanafata, hio poweramp ina mbwembwe tu ila haikutii mziki wa hizo player nilizotaja hapo juu. Nshaitumia ila haigongi bass nzuri hata ukitune.
NB: Inabidi ujue ku tune EQ vizuri na uwe na Earphones nzuri sana, me napendeleaga inner ears upate TDK original, Sony EX-088 original ama Awei inner ear unaweza hisi unatembea na club! Pia ukipata zile inner ear za samsung original huwa zinagonga vizuri sana.