Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..

View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Aisee hii kitu ni ikopoa sana.
 
Nimefuatilia uzi pole pole, mimi mtumiaji mzuri wa Poweramp. Niliamua kununua baada ya kufungwa kila majuma mawili!! Ila inakonga mtima wangu sana
 
Hv mkuu kulipa kupitia Vodacom payment billing inakuwaje kujisajili
Huna haja ya kujisajili, unachotakiwa kufanya ni kutop up ( kuongeza salio) kiasi sawa na bei ya kitu unachotakiwa kukilipia play store, then unaingia playstore unachagua app uitakayo ( inayouzwa ) kwenye payment utachagua vodacom billing, baada ya hapo salio lako litakatwa kulipia ulichokinunua
Nimeshanunua kwa hii njia mara mbili...
 
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..

View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Man goma linakataa ....ukishainstall hiyo unlocker
 
Back
Top Bottom