Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Mkuu kwenye Samsung note II unlocker imekuwa installed ila apk inasema There was a problem parsing the package mkuu.

Tunafanyaje hapo aisee...?
 
Kwa nini umenunua kwani hii aliyoweka jamaa haifanyi kazi tena au ni kwako tu ndio inasumbua mkuu...?

Zilizo crack-iwa kujumlisha na hii huwa nikijaribu baada ya wiki mbili wanasema tena cant verify purchase. Kwahiyo nimeoma nijitoe tu ninunue. Labda tatizo ni kwangu jaribu labda kwako inafanya kazi.
 
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..

View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mi nikadhani mnaweka link ya hio app hapa tuipakue kumbe ni mastor tu Wekeni link hapa au mwenye nayo isiyo ya kilipia naomba msaada anitumie wasap au tereglam kwa no. 0756695846
 
Mbona kila kitu kimewekwa hapo...au huon vzur mkuu

Mi natumia jet audio,, vp hyo?
 
Nimeipenda ila Naona inauzwa hii ya trail imeisha mda wake mwenye crack Naomba anitumie is wasap au tereglam kwa 0756695846 nitashukuru
 
Back
Top Bottom