Pakua Poweramp,player isiyo na mpinzani

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
5,117
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
5,117 2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
5,117
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
5,117 2,000
Aisee Mkuu hii kitu ni balaa inagonga kama sony music theatre 1000watts...

Naona kuna mdau hapo anasema ina play na video lakni nikijaribu ku play video inatoka audio tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mkuu ina balaaa...

Video ina play audio tu mkuu..ndiomana mimi sija mark folder la videos

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
grand millenial

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Messages
926
Points
1,000

grand millenial

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2018
926 1,000
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..

View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
We jamaa haiko serious hivi unaijua jetaudio?
 
grand millenial

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Messages
926
Points
1,000

grand millenial

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2018
926 1,000
Jet audio huez fananisha na poweramp,wanao ijua poweramp wanaelewa hili mkuu...hii tupo nayo tangu enzi za symbian tunaijua vzuri poweramp.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nimetumia nokia navigator 6210 s60v3 hii ni symbia kitambo hicho hii app nilishawahi itumianila sijuona raha yake mfano hauwezi kutumia player at full screen ukiwa umelock simu lakini jetaudio+ unauwezo huo pia jetaudio inauwezo wa ku tune earphone zako zikakapiga kwa muundo wa earphone zozote duniani mfano BEATS za dre na nyenginezo na ina option nyingi mno ambazo kwenye power amps zijaziona zaidi nilichoona ni ina themes nzuri
 
JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
1,844
Points
2,000

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
1,844 2,000
Aisee Mkuu hii kitu ni balaa inagonga kama sony music theatre 1000watts...

Naona kuna mdau hapo anasema ina play na video lakni nikijaribu ku play video inatoka audio tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Video inaplay lakini haioneshi...kwa mimi ambaye nina video tu huwa naenjoy sina haja yakuwa na audio kwenye simu ndio niweze kuitumia hii player only video inatosha kunipa ninachokitaka...
Tofauti na audio player zingine kama huna audio format huwezi play video

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
kaburungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
2,198
Points
2,000

kaburungu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
2,198 2,000
Jet audio huez fananisha na poweramp,wanao ijua poweramp wanaelewa hili mkuu...hii tupo nayo tangu enzi za symbian tunaijua vzuri poweramp.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nimefanya installation kama ulivyosema ila kila nikijaribu kuifungua inaandika "unfortunately power ramp has stopped working"

Shida nini au ndo wanataka ninunue playstore?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
5,117
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
5,117 2,000
Mkuu mbona hyo ku tumia player full kweny lock screen ni minor feature sana,kuhusu upigaji kama wa earphone za beats na zingine,mi nafkri kama una earphone mbovu ni mbovu tu,usitegemee utapata beats experiance kweny ofia,
Ukitaka kuenjoy tafuta earphone zinazoeleweka tu kisha set sound yako.

Kwangu poweramp ndio best player hadi sasa..pia angalia rate,reviews,na downloads za hizi apps ,utajua poweramp ndio pendwa,
Nimetumia nokia navigator 6210 s60v3 hii ni symbia kitambo hicho hii app nilishawahi itumianila sijuona raha yake mfano hauwezi kutumia player at full screen ukiwa umelock simu lakini jetaudio+ unauwezo huo pia jetaudio inauwezo wa ku tune earphone zako zikakapiga kwa muundo wa earphone zozote duniani mfano BEATS za dre na nyenginezo na ina option nyingi mno ambazo kwenye power amps zijaziona zaidi nilichoona ni ina themes nzuri
20180828_081932.jpeg
20180828_081850.jpeg

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
grand millenial

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Messages
926
Points
1,000

grand millenial

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2018
926 1,000
Mkuu mbona hyo ku tumia player full kweny lock screen ni minor feature sana,kuhusu upigaji kama wa earphone za beats na zingine,mi nafkri kama una earphone mbovu ni mbovu tu,usitegemee utapata beats experiance kweny ofia,
Ukitaka kuenjoy tafuta earphone zinazoeleweka tu kisha set sound yako.

Kwangu poweramp ndio best player hadi sasa..pia angalia rate,reviews,na downloads za hizi apps ,utajua poweramp ndio pendwa,View attachment 849035View attachment 849036

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
kwenye review si shida mkuu shida ni kwamba watu wanaoitumia ni wachache labda naweza sema hawajui features zake .au ni kutokupenda tu
Na hapo kwenye earphones nimeweka kama main feature ambayo kiukweli kwemye power amp sikuwahi kuiona hio feature halafu mm situmii earphone natumia headphones hizi (Sennheiser HD 4.40 BT)
 
kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
5,117
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
5,117 2,000
kwenye review si shida mkuu shida ni kwamba watu wanaoitumia ni wachache labda naweza sema hawajui features zake .au ni kutokupenda tu
Na hapo kwenye earphones nimeweka kama main feature ambayo kiukweli kwemye power amp sikuwahi kuiona hio feature halafu mm situmii earphone natumia headphones hizi (Sennheiser HD 4.40 BT)
sasa huon watu wenyew mnaotumia ni wachache,,milion 50 kwa 10 parefu..kizur hupendwa na wengi,,anyway mkuu enjoy music

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
grand millenial

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Messages
926
Points
1,000

grand millenial

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2018
926 1,000
na sis wenye ios
Uko serious? Unaitaka kwenye ios? Kama jibu ni ndio kwanza jua ios hauwezi chukua kitu nje ya market na poweramp iliyopo kwenye market ni kama hii hapo chini kwenye picha.
So kama utataka ya nje ya applestore itabidi uchukue maamuzi magumu kwanza
-jailbreak hiyo iphone os
Baada ya hapo utaweza ku install apps za nje ya market ya apple ila ni too risk .
Screenshot_2018-08-28-08-40-13.jpg
 
kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
5,117
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
5,117 2,000
Aisee bado inagoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi huenda unahitaji latest apk,,,jarbu kufuta iliyokuepo na uache unlocker pekee,kisha download poweramp kutoka playstore,,shida ya kufanya hivi unaweza usifanikiwe kuichakachua...so ikifell itabd unununue tu kama utaweza

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Forum statistics

Threads 1,367,274
Members 521,708
Posts 33,393,673
Top