Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Hii
IMG_20180828_085701.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kcamp
Ni kweli hii app nilishawahi itumia miaka ya nyuma then nikaipoteza nilipo ibiwa simu yangu. Ni app ambayo inatoa muziki mzuri sana. Tena sasa kuna updates nyingi kuliko walivyo anza mwanzo. Nita install hata mimi. Asante kwa kushare.
 
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...

Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..

Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..


View attachment 848786View attachment 848787

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Inaniletea message'Parse Error'
Inaniletea message,'there was error in parsing the package'.
 
Yani hapo mkuu wakati una add folder za mziki..yenyew ita add folder zote za kweny simu yako..na ita play any playable audio au video..sasa kuepusha hayo..uta unmack folder zingine zile ambazo hutak player ideal nazo..sjui umenisoma mkuu?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Imekubali mkuu ahsante ila tatizo kwa sasa haifanyi kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambao mmeshindwa ku install hii poweramp fanyeni ivi.
1. Fungua jamii forums kwa kutumia Browser unayotumia eg. Opera, Chrome au Native browser ya simu yako kisha fungua jamii forums kisha nenda kwenye jukwaa la tech kisha nenda kwenye uzi huu. Pakua unloacker na kisha pakua apk ya poweramp.

2. Nenda kwenye download folder la simu yako. Kisha install Unlocker kwanza. Hakikisha una enable "Off market application" kisha install hadi uone shotcut kwenye Menyu yako

3. Rudi tena kwenye download forder na uinstall APK ya Poweramp hadi ikubali.

Then utaanza kuitumia.
Note: ukiinstall juu kwa juu kutoka kwenye jamii forums app huwezi kufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom