Pakistan yapitisha Sheria ya kuhasi wabakaji

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Maandamano dhidi ya ubakaji yamekuwa yakifanyika kote nchini Pakistan katika miezi ya hivi karibuni baada ya ubakai mbaya uliotokea mwezi Septemba.

Rais wa Pakistan amesaini sheria mpya itakayotoa adhabu kali dhidi ya wahusika wa ubakaji.

Kulingana na sheria hii , Serikali itaweka sajiri ya watu wanaopatikana na makosa ya ubakaji, kulinda utambulisho wa waathiriwa na matumizi ya kemikali kuwahasi baadhi ya wabakaji.

Kulingana na sheria hii, kesi za ubakaji zitaharakishwa. Mahakama zinatarajiwa kukamilisha kesi ya ubakaji ndani ya kipindi cha miezi minne.

Serikali imesaini sheria mpya dhidi ya ubakaji baada ya malalamiko megi ya watu dhidi ya unyanyasaji huo wa kingoni baada ya wanaume kadhaa kumbaka mwanamke mmoja nje ya jiji la Lahore.

Walimbaka mwanamke huyo kando ya barabara inayoelekea katika jiji hilo mbele ya watoto wake wawili. Mkuu wa polisi alisema kuwa muathiriwa kwa upande mmoja alikuwa na makosa.

Wanaharakati wakipinga utamaduni wa mauaji ya heshima Pakistan

Wanawake na watoto wa kike wamekuwa wakibakwa na kuuawa nchini Pakistan

Kauli yake pamoja na unyanyasaji huo wa kinyama viliwakasirisha watu nchini humo ambao walisema kuwa amegeuza ukatili huo kuwa kitu kidogo. Maandamano makubwa yamekuwa yakiendelea kuilazimisha serikali kuchukua hatua dhidi ya ubakaji.

Waziri Mkuu Imran Khan na baraza lake la mawaziri waliidhinisha sheria hiyo na Rais Arif Alvi akaisain kuwa sheria Jumanne.

Serikali ilipewa siku 120 na umma kuwa imeidhinisha sheria hiyo na kupitishwa na bunge.
 
So wakihasiwa hawafungwi au wanahasiwa na kufungwa magereza yenye wanaume rijali wakalipe??
 
Tuangalie upande wa pili.
Iwapo kwenye 100 wanaokutwa na hatia ya kubaka mwanamke, wakahukumiwa kuhasiwa, na baadaye pakapatikana vidhibiti na ushahidi kuwa mmoja kati ya hao 100, alikuwa hana hatia, tutakuwa hatujatenda haki.
Adhabu aina hii pia inaweza kupelekea wajinai kuua victims wao ili kupoteza ushahidi.
Hivyo, adhabu kwenye Kanuni za Makosa ya Jinai/Penal Code inayoongozwa na Sheria ya Makosa ya Kujamiiana SOSPA 1998 ya kifungo cha miaka 30 na Review baada ya miaka 10, ni bora zaidi.
 
Mwanamke akibaka itakuwaje?
 
Safi sana na hii sheria itungwe hapa Tanzania, naunga mkono kwani itawakomsha mno mapadri na maimamu wasaliti
 
Ni Jambo jema, maana kubaka ni kosa, haijalishi mtendewa alikua katika Hali ganii au mazingira ganii.
 
Tuangalie upande wa pili.
Iwapo kwenye 100 wanaokutwa na hatia ya kubaka mwanamke, wakahukumiwa kuhasiwa, na baadaye pakapatikana vidhibiti na ushahidi kuwa mmoja kati ya hao 100, alikuwa hana hatia, tutakuwa hatujatenda haki.
Adhabu aina hii pia inaweza kupelekea wajinai kuua victims wao ili kupoteza ushahidi.
Hivyo, adhabu kwenye Kanuni za Makosa ya Jinai/Penal Code inayoongozwa na Sheria ya Makosa ya Kujamiiana SOSPA 1998 ya kifungo cha miaka 30 na Review baada ya miaka 10, ni bora zaidi.
Wanawake inabidi wafungwe GPS
 
Kimaumbile, mwanamke hawezi kubaka mwanaume.
Nani kakwambia?ipo video moja wanawake wawili wanambaka mwanaume,mmoja kamkalia kifuani na kambana mikono na mwengine kamkalia mapajani halafu huku anaichezea mashine hadi ikasimama akaanza kujihudumia.
 
Back
Top Bottom