Pakistan yaipigia magoti Israel kuiomba isiwaue Abbas Araqchi na Mohammed Bakari kwani ni watu muhimu kwenye mazungumuzo.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
16,703
Reaction score
20,012
Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge, chanzo cha Pakistani chenye ufahamu wa mazungumzo hayo kiliiambia Reuters siku ya Alhamisi.

"Waisraeli walikuwa na waratibu wao na walitaka kuwaondoa, tuliiambia Marekani kwamba endapo wataondolewa kwa kuuliwa basi hakuna watu wengine wa kuweza kufanya nao mazungumzo hali iliyopelekea Marekani kuiambia Israel iache kuwaua, chanzo kilisema.​

============== For English Audience ================

Israel took Iran's Araqchi, Qalibaf off hit list after Pakistan request to US
March 26 - Israel took Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi and Parliamentary Speaker Mohammad Baqer Qalibaf off its hit list after Pakistan requested that Washington not ‌target them, a Pakistani source with knowledge of the discussions told Reuters on Thursday.

"The Israelis had their coordinates and wanted to take them out, we told the U.S. if they are also eliminated then there is no one else to talk to, hence the U.S. asked the Israelis to back off," ⁠the source said. Pakistan's military and foreign office did not immediately respond to requests for comment.

The Wall Street Journal first reported that the two top Iranian officials had been temporarily removed from Israel's list of officials to eliminate as they explore possible peace talks. The two officials have been removed from the list for up to four or five days, the Journal said, citing U.S. officials, but did not mention any Pakistani role in it.

Pakistan, Egypt and Turkey are playing the role of ‌mediator ⁠between Tehran and Washington to end the Iran war. Islamabad has maintained direct contact with both Washington and Tehran at a time when such channels are frozen for most other countries. Islamabad has also been seen as a likely venue if peace talks are held.

Iran is ⁠reviewing a 15-point proposal from U.S. President Donald Trump, sent through Pakistan, to end the war. The proposal calls for removing Iran's stocks of highly enriched uranium, halting enrichment, curbing its ⁠ballistic missile program and cutting off funding for regional allies, according to Israeli cabinet sources familiar with the plan.

Trump has said Iran is desperate to make a deal, ⁠while Araqchi said Tehran was reviewing the U.S. proposal but had no intention of holding talks to wind down the conflict.​

SOURCE: REUTTERS
 
Hizi ni propaganda, porojo na pia story za kufikirika. Kwanza tuulizane hiyo Pakistan ina ushawishi gani kwenye serikali ya Iran?

Lakini pia tuulizane, hata baada ya hao Mayahudi kuwaua viongozi wengine waandamizi kwenye serikali ya Iran, akiwemo kiongozi wao mkuu Ayatollah Ali Khamenei; kuna unafuu gani umepatikana? Mbona bado wanapelekewa moto kila siku?
 
Halafu taarifa inasema Pakistan waliwaambia marekani lakini kichwa cha habari kinaibebesha Israel umwamba badala ya kuionesha kuwa ni kijibwa cha marekani,kikiambiwa ng'ata kinang'ata, kikiambiwa acha kinaacha
Hii taarifa inaonesha Pakistan inaona nyendo za Israel
 
Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge, chanzo cha Pakistani chenye ufahamu wa mazungumzo hayo kiliiambia Reuters siku ya Alhamisi.

"Waisraeli walikuwa na waratibu wao na walitaka kuwaondoa, tuliiambia Marekani kwamba endapo wataondolewa kwa kuuliwa basi hakuna watu wengine wa kuweza kufanya nao mazungumzo hali iliyopelekea Marekani kuiambia Israel iache kuwaua, chanzo kilisema.​

============== For English Audience ================

Israel took Iran's Araqchi, Qalibaf off hit list after Pakistan request to US
March 26 - Israel took Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi and Parliamentary Speaker Mohammad Baqer Qalibaf off its hit list after Pakistan requested that Washington not ‌target them, a Pakistani source with knowledge of the discussions told Reuters on Thursday.

"The Israelis had their coordinates and wanted to take them out, we told the U.S. if they are also eliminated then there is no one else to talk to, hence the U.S. asked the Israelis to back off," ⁠the source said. Pakistan's military and foreign office did not immediately respond to requests for comment.

The Wall Street Journal first reported that the two top Iranian officials had been temporarily removed from Israel's list of officials to eliminate as they explore possible peace talks. The two officials have been removed from the list for up to four or five days, the Journal said, citing U.S. officials, but did not mention any Pakistani role in it.

Pakistan, Egypt and Turkey are playing the role of ‌mediator ⁠between Tehran and Washington to end the Iran war. Islamabad has maintained direct contact with both Washington and Tehran at a time when such channels are frozen for most other countries. Islamabad has also been seen as a likely venue if peace talks are held.

Iran is ⁠reviewing a 15-point proposal from U.S. President Donald Trump, sent through Pakistan, to end the war. The proposal calls for removing Iran's stocks of highly enriched uranium, halting enrichment, curbing its ⁠ballistic missile program and cutting off funding for regional allies, according to Israeli cabinet sources familiar with the plan.

Trump has said Iran is desperate to make a deal, ⁠while Araqchi said Tehran was reviewing the U.S. proposal but had no intention of holding talks to wind down the conflict.​

SOURCE: REUTTERS
Tulia dawa iingie acheni porojo ,acha tuonyeshane kazi, with the mosaic theory ya iran ,marekani amegundua nothing will ever change kwenye vita watu wanapeleka moto tu kutoka kila pande ,na wanatandika kila mali ya adui popote ilipo
Mlango wa kutokea babu yenu hauoni sasahivi kabakia kutunga story zake za kijinga mara iran wamenipa zawadi, weupe sana wale hapo wanapigana na mtu aliyekuwa kwenye vikwazo zaidi ya miaka 30
Kabla ya vita straight of hormuz ilikuwa free kwa kila mtu, sasa hivi iran ndio analipisha hela na kuamua nani apite ,si unaona mambo yanavyokuwa mazuri
 
Hizi ni propaganda, porojo na pia story za kufikirika. Kwanza tuulizane hiyo Pakistan ina ushawishi gani kwenye serikali ya Iran?

Lakini pia tuulizane, hata baada ya hao Mayahudi kuwaua viongozi wengine waandamizi kwenye serikali ya Iran, akiwemo kiongozi wao mkuu Ayatollah Ali Khamenei; kuna unafuu gani umepatikana? Mbona bado wanapelekewa moto kila siku?
Mkuu hujaelewa kiini cha jambo hilo.

Mara kadhaa Marekani wamekuwa wakidai kufanya mazungumzo na Iran, huku Iran yenyewe ikikanusha.

Ukweli wa mambo ni kwamba viongozi wa kiSerikali wa Iran tayari wameshagawanyika kimsimamo.

Ni kweli kabisa kuna kundi la viongozi wa Iran wanafanya maongezi ya kumaliza vita kwa mazungumzo, host wao akiwa ni Pakistani.

Ila Pakistani kuwaombea viongozi hao wasiuliwe, ni kama kawatoa sadaka ya kifo(kafara), lazima watauawa kwa kuonekana ni wasaliti.
 
Porojo tupu huyo trump haaminiki sehemu yoyote anajisemesha baada ya kuona mambo magumu na approval rate yake marekani imeshuka to the lowest level ever, hadi sass kakosa plan ya vita anaongea vitu hata mvuta bangi hawezi kuongea, marekani haijawahi kudhalilika kama kipindi hichi cha trump
Hadi western allies wameamua kumkwepa ujue huyo ni kimeo kweli kweli
 
Back
Top Bottom