Paka wangu nimemfundisha hivi angalieni

Paka wangu nimemfundisha hivi angalieni

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,086
Reaction score
34,883
Mnasemaje kuhusu Paka wangu anafanya vitu vyake kama Binadamu ehhhhhhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Duh unakazi yaani unaenda youtube kusearch hii kitu mhh inabidinifikirie mara 2
 
Duh unakazi yaani unaenda youtube kusearch hii kitu mhh inabidinifikirie mara 2
Unachofikiria nini na nimekwambia Paka wangu huyo nimemfundisha jinsi ya kutumia Toilet hujashangaa kuona meli inaelea baharini shilingi inazama baharini!!!!!!!!!!!!! hujajuwa kila kitu siku hizi wewe tafuta Youtube au Google Search engine utapata??????? Upo Bibie mpendwa????????????????????
 
Back
Top Bottom