Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 117
- 387
Maduka mengi yamekuwa na paka anae cheza cheza mule dukani, sasa najiuliza uwepo wake ni kwasababu ya kupambana Kuua panya wanaoharibu bidhaa dukani au wanakazi nyingine?
Maana kuna mmiliki wa duka fulani aliangusha kilio kama kafiwa mara baada ya paka wake kutoka dukani kwa bahati mbaya na kuchukuliwa nawapita njia, alitangaza dau nono kwa yeyote atakae muona na kumrejesha kwake.