paka na mbwa nani rafiki wa kweli?

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,071
1,211
jaman ndugu zangu, hakuna mnyama mnafiki kama paka, leo niko zangu skan napiga samaki paka wa skani akaja, nikaona sio fresh ngoja nimtoe ata kichwa, mshkaji akapiga akaondoka! badae nacheki zangu TV akaja tena, akajibanza pembeni yangu kwenye sofa! nikaona ngoja nimbebe mshjaji, hapo ndo kosa, mshkaji kaniachia kidonda mkononi, nimemind mbaya! jaman paka mnafiki,
 
dah! sasa umeuliza halafu tayari ushamkandia paka kwahiyo inaonesha unampenda mbwa,basi tuambie hayo mazuri ya mbwa.Nalog off
 
jaman ndugu zangu, hakuna mnyama mnafiki kama paka, leo niko zangu skan napiga samaki paka wa skani akaja, nikaona sio fresh ngoja nimtoe ata kichwa, mshkaji akapiga akaondoka! badae nacheki zangu TV akaja tena, akajibanza pembeni yangu kwenye sofa! nikaona ngoja nimbebe mshjaji, hapo ndo kosa, mshkaji kaniachia kidonda mkononi, nimemind mbaya! jaman paka mnafiki,

Kakuachia kidonda kivipi?
 
pole samaki....wanakukula mkia kichwa wanampa paka....dah....mi naona mbwa katulia mbaya....
 
hakuna mnyama rafki kwa mwanadamu coz unaweza kufanya mistake bila kujua yy akadhani unatakakumdhuru so lazima ajihadhari kama kucha anakupiga
 
Inategemea umewafundishaje...............wananyama hufundishwa na kwangu mie wote waweza kuwa marafiki zangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom