Pajero io(GDI) inauzwa

Pajero io(GDI) inauzwa

Nimetoa ushauri tu.... 9M mtu anapata gari kali sana sio chakavu kama hiyo!![/QUOT

Wewe unaroho ya kwa nn eeeeeh,endelea kubwabwaja hivyo hivyo,nilitegemea kukutana na watu kama nyinyi humu ndani.
 
Habari zenu wakuu
Nauza gari aina ya pajero io(GDI)
_Ya Mwaka 2002
_ Colour, Black
_1500cc
_ Mileage,211,000km
_Bei ...million 9.
Gari ipo ktk condition nzuri kabisa..Karibuni wakuu.
Kwa uzoefu wangu hii gari 6m- 7m ni halali yake huo ni magari sensitive sana na yanawasumbua sana mafundi wetu wa chini ya mti.

Nakumbuka niliagiza hii gari ikafika kwa around 10.5milion Enzi hizo lakini niliishia kuiuza 8milion ikiwa mpya.

Ni gari nzuri sana, very comfortable ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida lakini ikianza misi ndio utajuta kuijua GDI, huwa ina kaugonjwa kengine ka kukata mafuta, yaani gari ipo silence lakini ukipiga resi hola.
 
Wewe acha mashauzi ndugu chukua hela hiyo utajuta mwishowe haya wee
Mwache aje aiuze kama screpa,mimi yalishanikuta hayo nilikuwa na baloon SX 90 nikawa naringa ila niilushia kuiuza kama screpa ikakatwa kwatwa
 
Nawasaidia wengine wasiliwe mkuu....

Hizo gari kms kwa kilomita hizo kwa 9M ni wizi!!
Hii 9mil ni bei niliyonunulia gari kama hii from Showroom those days, ilikua ndio kwanza imported. Sasa yeye ndio kafanya bei ya kuuzia mkononi, dah
 
Wewe acha mashauzi ndugu chukua hela hiyo utajuta mwishowe haya wee

hivi wewe ni wa kike au wakiume,nilikuwa najaribu kujiuliza swali hili,naona nakaribia kupata majibu ya swali langu,
 
Kwa uzoefu wangu hii gari 6m- 7m ni halali yake huo ni magari sensitive sana na yanawasumbua sana mafundi wetu wa chini ya mti.

Nakumbuka niliagiza hii gari ikafika kwa around 10.5milion Enzi hizo lakini niliishia kuiuza 8milion ikiwa mpya.

Ni gari nzuri sana, very comfortable ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida lakini ikianza misi ndio utajuta kuijua GDI, huwa ina kaugonjwa kengine ka kukata mafuta, yaani gari ipo silence lakini ukipiga resi hola.
Na hilo ndo tatizo la GDI....
Mkuu umeongea kweli tupu.Hili gar Lina shida ya umeme kwa ujumla.....
Huyu mdau KAMA HAJAWAHI SUMBULIWA NA MATATIZO ULOTAJA.. basi aiuze fastaa tena bei isizidi 7mil..vinginevyo atafunga nalo ndoa au watakuja kuuza kwa bei ya hasara kuliko alivyotarajia.
 
Mkuu gari haina tatizo lolote,ni nzima kabisa,kwenye Yard ina range kwenya 14-15million
mil 15 labda ya zimbabwe ina mana hii na mark x ipi ipo markert zaid wacha uongo aisee
 
hiyo gari pajero GDI ni ishu ninayo hapa mwaka wa 3 huu nilikuwa nauza 7m sasa hata wa 4m simpati
 
naikubali sana hii mambo sema mipunga bado haijanitembelea...kumbe bei yake ya kawaida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom