Page maalum kwa walaji wa kitimoto

Huu ndio muonekano wa ukurasa wenyewe...
 
watu tupo kwenye shaban na leo nachange avatar nijiandae kwa ramadhan.

Sie waislam kweli hatusogelei hiyo kitu! Iwe ni mwezi wa Abub, Rajab, Shaban, Ramadhan au Shawal!

Copy: sweetlady!
 
Last edited by a moderator:

He he isingekuwa FB ningeingia ila FB marufuku ha ha ha umenitamanisha sana hiyo makitu
 
we ushaambiwa ni kwa walaji kitimoto, kwanini ulifungua thread?

Kwa sie waislam safi hatuli huyo mnyama haraam, sie hula nyama yake tu. allah atujalie wepesi katika hili...
 
​

Kwa hisani ya Sigma wa JamiiForum...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…