Padri wa kijiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Padri wa kijiji

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Masikini_Jeuri, Jul 2, 2010.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Katika kijiji kimoja kule mkoa wa Kilimanjaro, kulitokea mabishano makubwa kati ya mzee mmoja na kijana wake. mabishano haya yalikua yana husu chupi waliyoiokota.[FONT=&quot]

  Baba akasema; hii ni chupi ya mwanamke mzee, Kijana akadakia na
  kukanusha, hapana baba hii chupi ni ya msichana. Baba akasema tena hapana hii ni ya mwanamke mzee, mabishano yakaendelea kama saa nzima.

  Katika muda huo akapita Padri na akasikia makelele ya watu wanaobishana. Akaenda kuangalia kama baba na kijana wake atawasaidia.

  Baba akasema: tumeona chupi hapa nikamuambia kijana wangu kwamba ni ya mwanamke,yeye anasema ni ya msichana.


  Padri akasema: ilete niione, akaichukua chupi na kuingalia nakuiweka puani na kuinusa,kisha akasema Kwamba: Hii chupi ni ya mwanamke mzee au msichana lakini jambo moja ambalo nina
  uhakika nalo ni kwamba huyu mwanamke sio wa parokia hii !!!!!
  [/FONT]
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Thanks you have made my day!
   
 3. M

  Mbonafingi Senior Member

  #3
  Jul 2, 2010
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S-eek: MAKUBWAA!!! ANAZIJUA ZOTEEE
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  anajua harufu za wanawake wote wa parokia yake, teh teh!
   
 5. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu kachukua jukumu la kuchunga kondoo wake 'literally'.
   
 6. ngonzi zomukama

  ngonzi zomukama Senior Member

  #6
  Jul 2, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh! anazijua harufu zake zoote
   
 7. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Anachunga kondoo wa bwana kwa vitendo! hahahahaha
   
 8. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mchungaji mwema uwaujua kondoo wake
   
 9. T

  TUMY JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2010
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebwana umeniacha hoi, yaeleka badri mzoefu sana huyo
   
 10. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #10
  Jul 3, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo padri ni balaaaaaaa!!!!!!
   
 11. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Huwa wanajua hawa jamaa pale wake au wachumba zenu wakienda kuungama, wanakisema "baba nimekuja kukuungamia nimezini.. "

  huwa wanaulizwa "Umezini wapi..ebu tuone ili upate toba..."akifunuliwa na kupapasa anauliza "hiii nini??, ebu sema kwa lugha yako...ataendelea hiyo kupatasa mpaka mwisho anatoa toba...na kumweleza "Usirudie tena kutoa kwa mtu mwingine yeyote hiyo ni dhambi sipokuwa mimi tu!, na Enenda zako kwa amani, usitende dhambi tena!!
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Jul 4, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Duh!
   
 13. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 405
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Huyo padiri ni mtaalamu, anajua kweli kuchunga kondoo wake
   
 14. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,427
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hiyo kali mkuu,kweli huyo padri ni mchungaji mzuri wa kondoo wake.
   
 15. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  kwakwakwaakwaaaaaa|||||| hii kali wajameni......:A S tongue::A S tongue:
   
 16. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kwaa kwaaa kwaaaa kwiiiiiiiiii
   
Loading...