IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 745
- 360
Padri mmoja alikuwa amechoka kusalisha, sasa alichokifanya akachukua redio halaf akajirekod hvyo ukifika mda wa sala anasimama halaf anafungulia radio, cku 1 akaisahau ile kanda nyumbani akamtuma mtumish wake akaichukue kumbe akaleta kanda ya taarab mara ikaanza ++ALAMBA,+ALAMBA,TENA,.waumin wakaitikia ''Aaamm aam