Nyie Kitime/ TEC naona mmefika kwenye point mnataka nchi isiwe na utulivu tu,kwa hoja moja au mbili hata kama kuna ukweli fulani lkn TIMING yenu haipo sawa, bado kuna mgawanyiko mkubwa ktk jamii na nyie kwa kujua ukubwa wenu mnazidi kuchochea kuni na lengo moto usipowe na labda kiwake lkn pia mnazidi kuwaonyesha hata watu wa dini na madhehebu tofauti na hasa Waislam kwamba kuna agenda zenu za sirini ebu kitulizeni wakuu, watu wakisema kweli zao kuhusu nyie mnakuja na hoja za watetezi wenu eti mna PHDs sijui badala kujibu hoja zao
Mnafaidika vipi na bandari ya wote na ruzuku mpatazo kwa kodi za wa Tanzania wote wa imani na madhehebu yote kwa hiyo MOU yenu na serikali ? inasaidia vipi kupunguza gharama kwenye ma shule na hospitals zenu? Maana hakuna nafuu pia huko ni kama any privates institutions tu
Hii tensions ikiendelea end results zenu zipi na benefits zake??
Timing yenu ya ma waraka na ma ujumbe haipo sawa hata kama kuna a grain of truth
Au Kitima ndio alishika Ak-47 na kumimina risasi majumbani kama mwendawazimu?
Tulieni hivyo hivyo wananchi watalipa kisasi kazi ya jeshi ni kulinda wananchi matokeo yake wakawa wanaua wananchi sasa wananchi watajilinda wao round hii.
Risasi haikuchagua mkatoliki, muislamu, mpagani, mfupi , mrefu , mweusi wala mweupe.