Radio Mbao!Source?
duuh hawa viongozi ndiyo wanaoharibu taswira ya kanisa katoliki. Inabidi ashughulikiwe sio kuhamishwa jimbo ni aibu kwa kanisa letu...
mkuu unapokea mambo na kuyaamini kirahisi sana.
Ingekuwa siyo Padre ungeamini kirahisi, lakini kwa vile Padre kahusika naona inakuwia ngumu kuamini!!!! LOL.
Mapadre wamezidi UZINZI!
leo katika kipindi cha patapata wapo redio fm.......kuwa padri wa kanisa katoliki parokia ya hombolo iliyoko dodoma kwa jina la celestine john nyaumbana....anashikiliwa na polisi kwa kosa la kutaka kumuua mpenzi wake kwa jina sista agnes huko maeneo ya kiluvya.......
chanzo kinasemekana kuwa padri huyo alimpa mimba sista agnes...na kuzaa nae mtoto....ila walizaa na dada huyo kwa siri kubwa sana....sasa wakati padri huyu yupo jijini dar kimasomo sista huyu alikuwa akimtafuta padri huyu ili kujua hatma ya maisha yake na mtoto....sasa wakati wapo dar padri huyo kukutana na mpenzi wake huyo alimuomba dada huyo watoke kidogo kwenda kutembea maeneo ya kiluvya...na klufika huko wakati wapo katikati ya poli padri huyo alishuka kwenye gali na kumshambulia sista agness kwa madhumuni ya kumuua na kupoteza ushaidi ila hakufanikiwa kumuua
source: wapo radio kipindi cha patapata

God Have Mercy On Us Sinners.
Si suala la kuoa au kutooa.mmmh!hawa mapadri bora waruhusiwe kuoa kieleweke!
Narudia tena, tatizo si la Mapadre tu, ni wote wanaoingia kwenye Utumishi wa Mungu kwa malengo ya ajira badala ya wito.Hawa mapadri aisee ni bora waruhusiwe tu kuoa, haya mafundisho mengine bwana, yaani binaadamu yuko kamili, anakula anakunywa ana uwezo kifedha, halafu unamwabia asioe, kinyume kabisa na maumbile yetu wanaadamu.
tutake tusitake tendo la ndoa ni muhimu mno kama kula au kunywa. kama uko mzima lazima ulitimize. sasa kueka sheria ya kulizuia matokeo yake ndo haya.