Padri amkabidhi Mwenyekiti wa CCM Wilaya ambaye ni Katibu wa parokia yetu kusoma waraka wa TEC

TANZANIA NI KUBWA KULIKO TEC .

DP WORLD WATAENDESHA BANDARI HATA KAMA TEC WATACHUKIA.

TEC WATALIPA KODI/USHURU KWA MWARABU HAPO BANDARINI.

MIZIGO HARAMU YA TEC ITAKUWA NDO MWISHO KUPITA HAPO BANDARINI BILA USHURU NA KUTOKAGULIWA.

MUNGU IBARIKI DP wORLD
 
Lilikuwa tukio la kushangaza, mwenyekiti wa CCM na Katibu wa parokia yetu leo aliitwa na padri mbele ya waumini na kumkabidhi waraka wa TEC kupinga mkataba unaohalalisha bandari kupewa mwarabu. Baada ya kumkabidhi alisikika akimwambia soma kwa sauti mpaka waliokaa nje kwenye mahema uwafikie. Picha na taarifa zaidi zitafuata. Vipi kanisani kwenu huko?
Hii imeenda Hii imeenda Hii imeenda!!
 
Lilikuwa tukio la kushangaza, mwenyekiti wa CCM na Katibu wa parokia yetu leo aliitwa na padri mbele ya waumini na kumkabidhi waraka wa TEC kupinga mkataba unaohalalisha bandari kupewa mwarabu. Baada ya kumkabidhi alisikika akimwambia soma kwa sauti mpaka waliokaa nje kwenye mahema uwafikie. Picha na taarifa zaidi zitafuata. Vipi kanisani kwenu huko?
Toka waraka utoke nilimwabia chawa mmoja humu kuwa,

Hakuna chawa wa ccm au kiongozi yeyete kama akina msukuma atakayetia neno ktk waraka huu, hadi sasa wanaccm wote leo wamekuwa watiifu ktk jumuia na makanisani kwao kwa baba paroko.

Tunamsubiri spika Tulia arudi tena kutukana na PhD yake kwa majigambo yaleyale.
 
Narudia tena, huyo paroko aliyemlazimisha karibu wa ccm asome waraka wa maaskofu for whatever reasons amefanya with malice. Anatambua unequivocally nafasi yake katika chama na kafanya hivyo makusudi

Nyaraka za kichungaji katika kanisa ni za aina nyingi kuanzia za papa hadi za maaskofu kama hizi, huwa zinasomwa na mawakili wa papa ambao ni ma Kleri na sio viongozi wa walei
Alimshikia panga au kamlazimishaje?
 
TANZANIA NI KUBWA KULIKO TEC .

DP WORLD WATAENDESHA BANDARI HATA KAMA TEC WATACHUKIA.

TEC WATALIPA KODI/USHURU KWA MWARABU HAPO BANDARINI.

MIZIGO HARAMU YA TEC ITAKUWA NDO MWISHO KUPITA HAPO BANDARINI BILA USHURU NA KUTOKAGULIWA.

MUNGU IBARIKI DP wORLD
Nyie tulieni hapo hapo, msiwe na haraka, hamjui kinachokuja, laiti mngejua..., acheni hizi wiki 6 za waraka ziishe kwanza
 
Lilikuwa tukio la kushangaza, mwenyekiti wa CCM na Katibu wa parokia yetu leo aliitwa na padri mbele ya waumini na kumkabidhi waraka wa TEC kupinga mkataba unaohalalisha bandari kupewa mwarabu. Baada ya kumkabidhi alisikika akimwambia soma kwa sauti mpaka waliokaa nje kwenye mahema uwafikie. Picha na taarifa zaidi zitafuata. Vipi kanisani kwenu huko?
Mdogomdogo wataelewa tu
 
Wazalendo wa nchi tutaanza kuzibandika hizo nakala za Tec kila sehemu kwenye mikusanyiko ya watu ili haya wale ambao si Waikatoriko waweze kuufahamu.Maana amri ya Mungu inasema mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.Hivyo, sisi tutafanya hivyo ili na wale ambao hawakujua uhovyo wa mkataba wa bandari waujue.
Waraka una page ngapi? Sambaza mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lilikuwa tukio la kushangaza, mwenyekiti wa CCM na Katibu wa parokia yetu leo aliitwa na padri mbele ya waumini na kumkabidhi waraka wa TEC kupinga mkataba unaohalalisha bandari kupewa mwarabu. Baada ya kumkabidhi alisikika akimwambia soma kwa sauti mpaka waliokaa nje kwenye mahema uwafikie. Picha na taarifa zaidi zitafuata. Vipi kanisani kwenu
Oooh Ruwah eeh wasiah wooseh! Pale unapobanwa kwenye Kona mnaisha wote' Mungu Hashindwi.
 
View attachment 2722781
Tec na Mapadre walikuwa wapi wakati mikataba ya kuua nembo zetu ikifanywa na Wazungu?

Kama kukemea TEC waache kuwamba ngozi.
Hoja kama hizi ndizo walikuwa wanatumia TV Imaan kujibu hoja ndiyo utajua shule ni muhimu sana.
Kwenye mambo kama haya muwe mnajitahidi kuficha ujinga wenu. Tafuteni hata waliosomasoma huko wajibu hoja. Ni aibu sana
 
Hoja ni Hoja zijibiwe msijifiche kwenye UPHD ambao haujaisadia nchii yako
 
Back
Top Bottom