Padri amkabidhi Mwenyekiti wa CCM Wilaya ambaye ni Katibu wa parokia yetu kusoma waraka wa TEC

TANZANIA NI KUBWA KULIKO TEC .


DP WORLD WATAENDESHA BANDARI HATA KAMA TEC WATACHUKIA.


TEC WATALIPA KODI/USHURU KWA MWARABU HAPO BANDARINI.


MIZIGO HARAMU YA TEC ITAKUWA NDO MWISHO KUPITA HAPO BANDARINI BILA USHURU NA KUTOKAGULIWA.


MUNGU IBARIKI DP wORLD
Serekaly Ni kikundi kidogo kinacho Ongoza watu wengi' Tecy Ni kikundi kikubwa kinacho Ongoza waumini wengi! Ni Nani huyu wa kuweza kubishana na Vatican ?
Jambo kuu watu Hawajui
Ni kuwa theology Yote Duniani imeasisiwa na huko Vatican.
Ukiongea kuhusu Historia ya Dunia Hawa watu wanaijua kuliko.
Kikubwa na Cha kipekee Ni kuwa
Kilatin Ni lugha ya Siri inayotumiwa na hawa wakuu kuwasiliana.
Mtu mmoja Akasema ndio lugha inayotumika pakubwa kwenye ulimwengu wa Roho Hapa Duniani.
Nyigine...labda Arabic Ni mtazamo wangu, kichina ..kihindu.
Sasa Basi Ukweli Ni kuwa huu utawala Kiroho umeshafutwa Ila kimwili bado upo tu.
Ndio maana wanasema huu mkataba ufutwe na Ni kitu' ambacho hakiwezekani Hakuna Kiongozi atakubali hii ni Road of No Return..ukiweza kurudi unakuwa hai ukishindwa na wewe unaondoka.
#Road of No Return.
 
Yes akawaambia mafarisayo na walimu wa dini nionyesheni dinari kisha baada ya kuonyeshwa akawaambia mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari na Mungu yaliyo ya Mungu.Sisi waumini tuna nafasi mbalimbali katika jamii na kwenye imani zetu.
 
Back
Top Bottom