Padre Mwenye Huruma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Padre Mwenye Huruma!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Hmaster, May 16, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nje ya nyumba ya padre furani kuna mti wa matunda. Watoto huwa wanakwenda kuyachuma pasipo kuzuiliwa na father huyo wala watumishi wake. Jioni moja padre alikuta matunda mengi yameanguka chini. Alipotazama juu alimuona binti na akamwamuru kwa upole ashuke. Aliposhuka akamwambia aokote matunda yake na kumpa pesa shilingi 10,000 kwa ajili ya kununulia chupi kwa vile alipokuwa juu padri aliona maumbile yake yote. "Na hii ni kwa ajili ya kununulia chupi kwa vile umri wako si vizuri kutovaa chupi", alimwambia. Binti akafurahi na kuondoka. Nyumbani alimwelezea mama yake kila kitu. Mama akahamasika kwa kusema kimoyomoyo kwamba 'kama mtoto tu amepewa na padri 10.000 kwa ajili ya chupi, je mm itakuwaje?" Kesho yake naye akaenda na kupanda juu ya mti uleule na akiwa naked kwa ndani. Kama ilivyo kwa siku ya kwanza Father alipoona matunda mengi ardhini aliangalia juu na kumkuta mama mtu mzima. Alimwamuru ashuke. Akamwambia aokote matunda yake kisha akampa pakti nzima ya nyembe, "na hii pakti ni ya nyembe mpya, ulipokuwa juu nimeona una msitu mkubwa maungoni mwako: katoe si vizuri kuacha kama haile", alimweleza. Yule mama aliondoka kwa huzuni kwani ilikuwa ni kinyume na matarajio yake.
   
 2. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hii ya leo kali
   
Loading...