Padre mwenye huruma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Padre mwenye huruma!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Hmaster, May 16, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nje ya nyumba ya padre mmoja katika parokia fulani huko Arusha kulikuwa na mti wa matunda ambapo watoto huenda kuyachuma wakati wowote bila vikwazo kutoka kwa father huyo wala watumishi wengine.
  :bump2:
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  malizia story kaka, it is INCOMPLETE!
   
 3. A

  Aine JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mbona haieleweki!
   
 4. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ........nadhani alikuwa anawaruhusu watoto wapande kwa mti kuchuma matunda yle yeye yupo chini akiwadirect
  matunda ya kuchuma. watoto bila kujua kuwa wanamwaga radhi
   
 5. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  FULL STORY
  Nje ya nyumba ya padre furani kuna mti wa matunda. Watoto huwa wanakwenda kuyachuma pasipo kuzuiliwa na father huyo wala watumishi wake. Jioni moja padre alikuta matunda mengi yameanguka chini. Alipotazama juu alimuona binti na akamwamuru kwa upole ashuke. Aliposhuka akamwambia aokote matunda yake na kumpa pesa shilingi 10,000 kwa ajili ya kununulia chupi kwa vile alipokuwa juu padri aliona maumbile yake yote. "Na hii ni kwa ajili ya kununulia chupi kwa vile umri wako si vizuri kutovaa chupi", alimwambia. Binti akafurahi na kuondoka. Nyumbani alimwelezea mama yake kila kitu. Mama akahamasika kwa kusema kimoyomoyo kwamba 'kama mtoto tu amepewa na padri 10.000 kwa ajili ya chupi, je mm itakuwaje?" Kesho yake naye akaenda na kupanda juu ya mti uleule na akiwa naked kwa ndani. Kama ilivyo kwa siku ya kwanza Father alipoona matunda mengi ardhini aliangalia juu na kumkuta mama mtu mzima. Alimwamuru ashuke. Akamwambia aokote matunda yake kisha akampa pakti nzima ya nyembe, "na hii pakti ni ya nyembe mpya, ulipokuwa juu nimeona una msitu mkubwa maungoni mwako: katoe si vizuri kuacha kama haile", alimweleza. Yule mama aliondoka kwa huzuni kwani ilikuwa ni kinyume na matarajio yake.
   
 6. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahaahaha :smash::bange:
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  haahaahaa story nzuri sana best!
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha!!!nimeipenda
   
 9. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Outdated
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Hatari kubwa
   
 11. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  you made my day man. Hakka huyo padre alikuwa si ridhiki , hata kuomba aonje kdogo hataki?
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahahahah tunapenda Mapadre kama hawa :rockon:
   
 13. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  aaaah nimeipenda.
   
Loading...