Padre Kitima aitumia TEC vibaya

Hiyo 23,000 ya Watanzania waliouliwa umeipataje?
 
Kwa hiyo unaaamini hakuna uhusiano kati ya maneno yake ya kukinukisha ya mwezi April na kilichotokea 29/10?

Basi akili yako ni nyembamba, siyo ya mambo haya
 
We hukusoma waraka waliokuwa wanatoa...mwenyew kakir kuwa mwez march walishaur serkali kuhusu mienendo ya utekaj
J ila wakaweka pamba maskion..sasa leo unakuja hapa kurusha tako moja wkt unajua kabisa serikal dhalimu ilikataa kupokea ushaur
Wako one sided. Kama kanisa walipaswa vilevile kuwatuliza wanaotaka kuleta vurugu.

Ya Rwanda genocide ya 1994 walianza hivihivi kwa Kanisa Katoliki kuwa upande mmoja wa Wahutu
 
Matakwa ya chadema ya NRNE yako wazi kabisa ..mwenyew unajua muundo wa tume ulivyo batili...hapa sina la kuongeza maana mwenyew ukikaa na kujitafakar unaona kabisa hamna tume pale
Suluhisho halikuwa kuchoma miundombinu na kuibabmali za watu binafsi, bali mjadala mezani
 
Vipi yule aliyesema atakata watu vichwa mlimshughulikia?

Yule kijana wa Mwanza aliyesema mkiona mtu amepotea Polisi wasihangaike kumtafuta naye mlimshughulikia?
Ashughulikiwe tu inavyostahili
 
Uhai ni muhimu kuliko mali, Sheli moja ina thamani ya uhai wa watu wangapi?
 
Akiikosoa serikali n kutumia TEC vibaya, ila angesifia ungesema anatumia TEC vzr

Pumbavu ww
 
Sawa,kumfahamu na kujua hoja yake ya sasa ni vitu tafauti.
Kitima hana hoja bali ana upande aliochagua. Ni vyema akavua kanzu na kola akatoka kwenye altere na kuja mtaani na kisha kuvaa magwanda ya khaki kama alivyo binamu yake Tundu Lissu au Padre mstaafu Dr Slaa
 
Uhai ni muhimu kuliko mali, Sheli moja ina thamani ya uhai wa watu wangapi?
Mtu anayechoma sheli hana thamani na hana haki ya kuishi.

Hizi sheli ziko karibu na makazi ya watu, imagine ikilipuka itaathiri maisha ya watu wangapi??
 
Akiikosoa serikali n kutumia TEC vibaya, ila angesifia ungesema anatumia TEC vzr

Pumbavu ww
Hata wewe ni pumbavu. Sikusema aside Serikali bali kama Kanisa wasiwe na upande. Waashauri vijana kutofanya vurugu
 
Wako one sided. Kama kanisa walipaswa vilevile kuwatuliza wanaotaka kuleta vurugu.

Ya Rwanda genocide ya 1994 walianza hivihivi kwa Kanisa Katoliki kuwa upande mmoja wa Wahutu
Mmeuwa watu elfu 23 plus,mmepora uchaguzi,mmejisimika madarakani kwa bunduki,mmejiapisha uchocholoni,mnakaa kwenye mashimo kama panya,mmefukia miili ya watu kama kuku waliokufa na kideli,mmeichoma miili ya wapenda haki hadi imekua majivu,mmenyima watu kuzika miili ya wapenda wao
Unataka one sided ipi??,zaidi mmejiundia tume ya kujichunguza nyinyi,hiki ni kituko cha karne,je nyinyi na wanyama kama sokwe mnatofauti gani???
 
*Kura
1995-2005 walihesabu vipi?.. hapakua na internet na matumizi yake kama leo
Nijibu kwa logic mlizihesabu vipi ikiwa internet mlishutdown na umeme mlikata??,na isitoshe kama kweli mnapendwa na raia million 32,mnaaja gani ya kujiapisha kichocholoni???,pia kama mnapendwa na raia million 32 kuna haja gani kujificha shimoni??
 
Unajieleza sana mkuu 😃 😀
 
Nijibu kwa logic mlizihesabu vipi ikiwa internet mlishutdown na umeme mlikata??,
Mawakala huhesabu kura vituoni,kisha husaini wakiridhia,na matokeo hutumwa wilayani,huko hujumlishwa na kutumwa INEC,ni watu ndiyo huhesabu siyo vifaa vya kutumia umeme,watu huhitaji mwanga,kuna vifaa vya kuhifadhi nishati na kutoa mwanga
Tanzania siyo dar tu au mahali ulipo,nilipokuwepo umeme haukukatika
na isitoshe kama kweli mnapendwa na raia million 32,mnaaja gani ya kujiapisha kichocholoni???
Kiapo cha rais huamnatana na shughuli za kijeshi,alipoapa siyo kichochoroni,ni eneo kubwa la wazi na sote tuliona,viwanja vya nishani uwanja wa uhuru upo kwenye matengenezo
,pia kama mnapendwa na raia million 32 kuna haja gani kujificha shimoni??
Shimo gani alilojificha,ikulu chamwino?.. ulitaka akae wapi?..huoni kwamba hiyo ni dalili serikali ilijua juu ya mipango yenu ya uharibifu na mapinduzi mapema ndiyo maana rais akahamia Dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…