Padiri vs mwana kwaya!

molely molly

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
317
30
Mwanakwaya anamlalamikia padre:
"Padre mke wangu hajui kufanya mapenzi
kabisaa mi namwaacha haki ya nani!"

PADRE AKIJIBU KWA CONFIDENCE:
"si bora mkeo anajua kidogo mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu, mke wa Petro yule mzee wakanisa na tak* lake la ghorofa ndio
bure kabisaa anazidiwa hata na sister Tuli.

Yaani kwa humu kwenye PAROKIA yetu mwenye nafuu ni mkeo na Salome yule mwalimu wa Sunday School
 
Acha utani na watumishi wa mungu kakaangu. chezea vyote lakini angalia usiwafanye watu wajionye wanyonge kwenye imani yao. kumbuka BOKO HARAM!!!!!
 
Acha utani na watumishi wa mungu kakaangu. chezea vyote lakini angalia usiwafanye watu wajionye wanyonge kwenye imani yao. kumbuka BOKO HARAM!!!!!

kaka ungekua umeshika imani huku usingekuepo hii ni link ya jokes
 
Acha utani na watumishi wa mungu kakaangu. chezea vyote lakini angalia usiwafanye watu wajionye wanyonge kwenye imani yao. kumbuka BOKO HARAM!!!!!

Utajuuta kufunga duka na kuja huku kwa link?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom