ok mkuu nimejifunza kitu kwako.. kumbe ally kiba nishoga, diamond ni shoga, mbunge wa mikumi professa j ni shoga aka choko, m.r blue ni shoga, davido ni shoga,tupac alikua shoga, baraka de prince ni shoga,dj ommy crazy ni shoga, jux ni shoga,juma nature ni shoga...hahah kweli tanzania tuna mashoga wengi tunahitaji maombi mazitoSioni sababu ya ku justify ujinga. Tunajua hereni zinazovaliwa sasa na hawa vijana masharo wa dar siyo zile za kimasai wala za mababu zetu bali mitindo iliyoigwa Marekani. Wavaaji wa hereni hata walioko Marekani siyo watu wanaoheshimika sana na mostly kimaadili ni questionable. Iweje sisi huku africa tuwaone watu wa kawaida? Ukweli utabakia kuwa uvaaji wa sasa wa hereni kwa wanaume unahusishwa na maadili machafu na hupati heshima popote labda kwa watu wenye silka kama yako.
Aaaaaameeeen!!!Hakunaa hata jiwe litakalo salia...ni.wakati wakung'oa kizazi cha Kipepo katikati ya uzao wa Kibinadam(wachache hamtanielewa)
Hizo categorisations zimekuwa defined na binadamu tu! Wala siyo msahafu! Maana unachokisema kuvaa sketi, Scotland wanaume uvaa vazi linalofanana na sketi, na huo ni utamaduni wao. Hivyo katika utamaduni wao, ni sawa kabisa kwa mwanaume (occasionally) kuvaa 'sketi'.Mkuu, kuna kuvaa hereni na kuvaa hereni za kike. Ni sawa na kuvaa nguo na kuvaa sketi. Sorry, no excuse!
Dini yenyewe umeletewa. Ebu niandikie mistari iliyo katika biblia ama koran inayokataza uvaaji wa hereni. Dini umeletewa ikija na tamaduni za waliokuletea hiyo dini na waliokuletea hiyo dini wakikuaminisha kwamba tamaduni walizozikuta siyo nzuri mbele za Mungu. Nawe ukasema Amina. Ebu jaribu kufikirisha kidogo ubongo wake.Mwanaume rijali hatoboi sikio..unless uwe hauna dini ndo utaona kila kitu ni sawa kwako...
Hiyo avatar yako tu inatoa jibu na picha ya ulichokiandika.Acha kutetea upu.mbavu nawewe utakuwa shoga ndo mnaotudhalilisha wanaume rijali.unatetea mwanaume aliyekamilika kuvaa hereni?kwanza wewe imani gani?
ok mkuu nimejifunza kitu kwako.. kumbe ally kiba nishoga, diamond ni shoga, mbunge wa mikumi professa j ni shoga aka choko, m.r blue ni shoga, davido ni shoga,tupac alikua shoga, baraka de prince ni shoga,dj ommy crazy ni shoga, jux ni shoga,juma nature ni shoga...hahah kweli tanzania tuna mashoga wengi tunahitaji maombi mazito
Kwa picha hizi inawezekana alikua chakula cha watoto wa mjini.
Dini yenyewe umeletewa. Ebu niandikie mistari iliyo katika biblia ama koran inayokataza uvaaji wa hereni. Dini umeletewa ikija na tamaduni za waliokuletea hiyo dini na waliokuletea hiyo dini wakikuaminisha kwamba tamaduni walizozikuta siyo nzuri mbele za Mungu. Nawe ukasema Amina. Ebu jaribu kufikirisha kidogo ubongo wake.
***
Hujaona wanao upinga ushoga? Nadhani kwenye uzi huu ndio wengi.....Huu uzi wa shoga ushafuka page 23 ila uzi wa ujio wa Rais wa Vietnam haujafika hata page 4.... Kweli humu ndani kuna watu wanapenda ushoga
acha kutetea ujinga kuvaa hereni Kama siyo mila ila kwa usharobaro ni UHUNI!Unatofautisha vipi uvaaji wa hereni wa Marekani (haswa kwa watu weusi) na uvaaji wa hereni wa Afrika? Kwa maana hawa wote wametokea katika mzizi mmoja! Na kama kulikuwa na tamaduni za baadhi ya makabila kuvaa hereni, kwanini isiwe kwamba hao wamarekani walibeba hizo tabia na kwenda nazo utumwani? Na kwa kuwa mitindo siyo static, ina evolve, hizo hereni wanazovaa sasa ni matokeo ya tamaduni za uvaaji wa hereni wa kitambo.
Ebu weka ushahidi unachokisema. Kama ingekuwa hivyo unavyodai, basi wavaaji hereni wangekuwa hata hawapati ajira Marekani. Unauliza iweje huku Afrika tuwaone watu wa kawaida, wapi wanaonekana siyo watu wa kawaida? Je, unawashangaa pia wamaasai kusuka nywele na kuvaa nusu uchi? Pengine utasema ni utamaduni wao! Na ukiona mzungu kavaa kama maasai utakuwa wa kwanza kumsifia!
Ukweli huo nani kaudefine? Maana masuala ya tamaduni ni rahisi sana kuwa na prejudice. Na suala la kupata heshima popote (unamaanisha dunia?) linadhiirisha jinsi ulivyo ndani ya box. Hapo Kenya tu, jaji mkuu wao anavaa hereni! Sasa sijui kuwa jaji mkuu siyo heshima? Maadili machafu unayaona kwa wavaaji hereni tu? Hivi wateja wa hao mashoga nao ni wavaaji hereni? Braza, mbona unafikiri kama mtoto wangu wa miaka 3?!?
Eti silka kama yangu! Mimi siyo mvaaji wa hereni, lakini kutokana na nilichokieleza juu ya chanzo cha utamaduni wa kuvaa hereni, sioni shida wala aibu kulisemea hili suala.
Huyo jamaa ni shoga mimi namfahamuacha kutetea ujinga kuvaa hereni Kama siyo mila ila kwa usharobaro ni UHUNI!
hahaah kwamba Na yy ni gasho?mpunga=punga
πππππππ
Sijaelewa ulichokiandika....acha kutetea ujinga kuvaa hereni Kama siyo mila ila kwa usharobaro ni UHUNI!