PAC imeudangaya umma?

PAC imeudangaya umma?

nimekupata, sasa turudi nyuma kwenye swali langu la awali, je ni maswali gani bado hayajajibiwa?

Sasa hayo ndiyo yale ambayo mtu alivyoelewa.Mfano ningeweza kumuuliza,kama anavyodhani CAG hakutambua uhalali wa pesa za ESCROW kuwa mali ya TANESCO ndiyo sababu iliyomfanya akubali kuidhinisha malipo bila kujiridhisha?

Ni vyema ukawa unahoji Ripoti moja against nyingine then unapata uhakika wa nini unachotaka kukipata.Ukweli wenye FACTS au UWONGO wenye SIASA nyingiiiiiiiiiiiiiii.

Kumbuka viongozi wetu karibu wote ni CORRUPT,hivyo hawawezi kukwambia ndiyo hii ni mali ya umma.Na ndiyo maana Muhongo siyo mwanasiasa ameingizwa kwenye mtego na wajanja akina Chenge ambao wamekubuhu kwenye wizi.Amejikuta anaidhinisha kitu asichojua impact yake kwa taifa.

Kuna watu walikataa kuidhinisha pesa mmojawapo ni Maswi na Ndullu hawa wanajua kwanini walikataa na kwanini baadaye walikubaliana na shinikizo la AG.

Kama hawa wawili Ndullu na Maswi wangeweza kujiondoa kwenye sakata hili kwa kujiuzulu mapema zaidi,kila mtu angejiuliza maswali mengi na wote tungepata jibu moja.

Leo kila Mtanzania anajibu lake,hatuko wamoja sababu kuna wengine wamelipwa pesa ili kutetea udhalimu huu.Nimesikia Maswi ni MUHASIBu sina uhakika inawezekana ndiyo maana alikataa sababu alielewa kuna makosa na kinachofanyika ni wizi wa mali ya Umma.

Maswi na Ndullu waanajua ndani ya mioyo yao kilitokea nini,na niwao ndiyo wanamajibu mazuri zaidi kuliko hawa wanojitetea.Kumbuka moja tu WATAWALA wetu WENGI WAO NI CORRUPT
 
Na kama PAC imetudanganya, imani yetu sisi wazalendo tutaiweka wapi?
 
Hapa namimi naomba nipendekeze kuwa mengi na mkono wote wafirisiwa na kushitakiwa hawa nao ni wahujumu uchumi ikibidi wanyongwe.
 
Na kama PAC imetudanganya, imani yetu sisi wazalendo tutaiweka wapi?

sisi wazarendo tuko na muhongo daima tutausimamia ukweli kwa mifana na hoja zenye mashiko mda wa kupotoshwa na wanasiasa wahuni kama zito umepita watu washamjua vema mwizi huyu.
 
Inauma namna serikali hii wanavyoaibishana wao kwa wao taarifa ya PAC imetokana na ukaguzi wa CAG,uchunguzi wa PCCB na TRA ambazo zote hizi ni taasisi za serikali.Kama taarifa ya PAC ni ya uongo,basi CAG,TAKUKURU na TRA wawajibishwe kwa kuundanganya umma wa Watanzania.
 
Sasa hayo ndiyo yale ambayo mtu alivyoelewa.Mfano ningeweza kumuuliza,kama anavyodhani CAG hakutambua uhalali wa pesa za ESCROW kuwa mali ya TANESCO ndiyo sababu iliyomfanya akubali kuidhinisha malipo bila kujiridhisha?

Ni vyema ukawa unahoji Ripoti moja against nyingine then unapata uhakika wa nini unachotaka kukipata.Ukweli wenye FACTS au UWONGO wenye SIASA nyingiiiiiiiiiiiiiii.

Kumbuka viongozi wetu karibu wote ni CORRUPT,hivyo hawawezi kukwambia ndiyo hii ni mali ya umma.Na ndiyo maana Muhongo siyo mwanasiasa ameingizwa kwenye mtego na wajanja akina Chenge ambao wamekubuhu kwenye wizi.Amejikuta anaidhinisha kitu asichojua impact yake kwa taifa.

Kuna watu walikataa kuidhinisha pesa mmojawapo ni Maswi na Ndullu hawa wanajua kwanini walikataa na kwanini baadaye walikubaliana na shinikizo la AG.

Kama hawa wawili Ndullu na Maswi wangeweza kujiondoa kwenye sakata hili kwa kujiuzulu mapema zaidi,kila mtu angejiuliza maswali mengi na wote tungepata jibu moja.

Leo kila Mtanzania anajibu lake,hatuko wamoja sababu kuna wengine wamelipwa pesa ili kutetea udhalimu huu.Nimesikia Maswi ni MUHASIBu sina uhakika inawezekana ndiyo maana alikataa sababu alielewa kuna makosa na kinachofanyika ni wizi wa mali ya Umma.

Maswi na Ndullu waanajua ndani ya mioyo yao kilitokea nini,na niwao ndiyo wanamajibu mazuri zaidi kuliko hawa wanojitetea.Kumbuka moja tu WATAWALA wetu WENGI WAO NI CORRUPT
mkuu nakubaliana na wewe, suala langu na ambalo linatia kinyaa ni kwa vipi mwenye haki ataokoka katika jambo asilotenda, sifahamu taratibu za kibunge na kwa vipi wanafanya chunguzi zao - nilitegemea PAC wengezama zaidi kutafuta ukweli wa hili suala,nimeona wao wamebase kwenye reports za vyombo vile vile (cAG na PCCB) nilidhani wangeenda zaidi ya hapo.
 
Mpaka sasa PAC wamedanganya umma. Inauma sana

mkuu nakubaliana na wewe, suala langu na ambalo linatia kinyaa ni kwa vipi mwenye haki ataokoka katika jambo asilotenda, sifahamu taratibu za kibunge na kwa vipi wanafanya chunguzi zao - nilitegemea PAC wengezama zaidi kutafuta ukweli wa hili suala,nimeona wao wamebase kwenye reports za vyombo vile vile (cAG na PCCB) nilidhani wangeenda zaidi ya hapo.
 
unadhani CAG, TRA na PCCB hawawezi kuwa waongo?
wewe ni mnfiki sana kwa hili la pac nashangaa upo sahani moja na FaizaFoxy!

sababu unamchukia zitto , faizafoxy ni sababu anatetetea ccm yake!

p.mbaf zenu
 
Last edited by a moderator:
Vyanzo vya taarifa za Kamati ya PAC ni CAG, TRA na PCCB.

Ulisema PAC ni waongo, basi CAG, TRA na PCCB nao pia ni waongo.

Upo sahihi 100% mkuu PAC hawajabuni kitu wala hawajaongeza au kupunguza kitu bali vielelezo vyote ni vya kweli kwa mujibu wa uchunguzi wa kina uliofanywa na CAG, PCCB & TRA
 
Watu wengi naona wanapotosha hili au hawajui hili swala.

PAC hawakuchunguza ila walitumia report ya CAG kuandaa taarifa yao walioiwasilisha bungeni.
 
Vyanzo vya taarifa za Kamati ya PAC ni CAG, TRA na PCCB.

Ulisema PAC ni waongo, basi CAG, TRA na PCCB nao pia ni waongo.

Kama hivyo ni vyanzo vya taarifa kwanini PAC waandike yao?

PAC wamedanganya tena sana tu.
 
CCM 19 ndo waongo basi kama hivyo wavueni nyazifa zao kwa kukubaliana na WAPINZANI 5,wasaini taarifa ya PAC ni wajumbe kwa kukubaliana nayo. Ndo mana kina FNjombe,Kigwa... Waliitea taarifa yako kila walipoomba kutoa taarifa.
 
Wengi wao wameingizwa mkenge na wapo waliopo kwenye makundi ambao tunawajuwa na tunajuwa namna ya kuwashughulia wala hawatusumbuwi, uongo wao umekuwa ni faraja kubwa. Kwani umedhihirisha ukweli.
 
Back
Top Bottom