PAC imeudangaya umma?

PAC imeudangaya umma?

Kama ulifuatilia kesi ya Pistorious yule mwanariadha wa SA kulikuwa na kila dalili ya yeye kutokuwa guilty lakini mwisho wa siku alikutwa guilty. Sasa ulitegemea baada tu ya shutuma serikali ife kikondoo?
 
Muhongo has risen then bar, now PAC is in hot, boiling pepper soup.
 
PAC imetoa taarifa juu ya fedha za escrow kwa umahili mwingi sana. Wametoa vielelezo vingi. Kwa weledi wao ilikuwa rahisi kutuaminisha. Mimi sikutegemea kabisa kuwa vielelezo vile si vya kweli.

Prof. Muhongo metuletea taarifa kinzani. Hoja za akina zitto na mheshimiwa Filikunjombe zimepanguliwa kwa ustadi na umahiri mkubwa tena kwa kujiamini. Tutaujua ukweli? PAC ina taarifa za kweli kuliko serikali? Je Muhongo anaweza kusema ukweli kuhusu Taarifa za PAC au amesema mambo yale tetezi kwa kujitetea tu?

Tito

Kapime vizuri ubongo wako si bure nahisi umelogwaaaaaaaaaaa
 
Ungekuwa karibu ningekutia bisibis ya mat..ako... Umekuwa ukiudhi sana.. Sijui mabwana zako wanakulipa bei gani?
Unaonaje ukirudi kwenye hoja ya msingi ndugu. Nakushauri ujibu hoja kwa hoja siyo matusi. Hii haina tofauti na wapiga klele bungeni.
 
PAC imetoa taarifa juu ya fedha za escrow kwa umahili mwingi sana. Wametoa vielelezo vingi. Kwa weledi wao ilikuwa rahisi kutuaminisha. Mimi sikutegemea kabisa kuwa vielelezo vile si vya kweli.

Prof. Muhongo metuletea taarifa kinzani. Hoja za akina zitto na mheshimiwa Filikunjombe zimepanguliwa kwa ustadi na umahiri mkubwa tena kwa kujiamini. Tutaujua ukweli? PAC ina taarifa za kweli kuliko serikali? Je Muhongo anaweza kusema ukweli kuhusu Taarifa za PAC au amesema mambo yale tetezi kwa kujitetea tu?

Tito

kwani taarifa za PAC zimetoka wapi? jibu ni kuwa zimetoka kwenye mamlaka za serikali za uchunguzi ambazo ni CAG NA PCCB, so unataka tuache kuamini mamlaka zenye jukumu na weledi wa uchunguzi tumuamini mwizi. Jaribu kwenda jela ukifika waulize maswali wafungwa mmoja baada ya mmoja kuwa wapo pale kwa kosa gani? SIKU ZOTE HAKUNA MFUNGWA AU MWIZI ATAKAYEKWAMBIA KAKOSA. JIBU LITAKUWA NIMEONEWA. Nipe sababu ya kumuamini Muhongo na nisiziamini PAC,CAG & TAKUKURU.
 
kumbuka PAC imetoa taarifa kutoka kwa CAG na PCCB kama ni hvyo ungeanza kuipinga taarifa ya CAG kwa uthibitisho kabla hujawahukumu PAC
 
Tito,ungelifanyia kazi hoja za Muhongo kama ukiwa na fikra huru bila kuweka urafiki au upenzi basi ujue,hakuna cha maana zaidi ya kujitetea kwa watawala wetu.

Kuna maswali mengi ambayo kuna watanzania wengi tunayo yamekosa majibu.Ukiliangalia sakata zima halina tofauti na namna ambavyo pesa za EPA zilichotwa kwa kisingizio mwenye nazo hajulikani.Na njia ni ile ile iliyotumika kuzikwapua.

Ukiwa mjanja utaelewa vyema zaidi kwa kujiuliza maswali mengi zaidi.Imenifanya nimdharau hata rais wangu,kuwa ni rais mdhaifu sana na yupo kwa maslahi zaidi.
maswali gani bado hayajajibiwa?
 
Last edited by a moderator:
unadhani CAG, TRA na PCCB hawawezi kuwa waongo?[/QUOT

kwa hiyo tumuamini muhongo? tuache kuziamini mamlaka za uchunguzi, ebu nipe sababu why nimuamini mtuhumiwa.
Kwa hiyo muhungo/pinda/werema wana CAG wao ambaye alifanya uchunguzi na kuja na taarifa ya ukweli?
 
hata kama PAC walikuwa waongo....kwa nini watu wamegawana fedha kama hazina mwenyewe?......NASIKITIKA KUONA WATU WANAOMBA NA KUFUNGA ILI HIZO FEDHA ZISIWE ZA WATANZANIA, KWA KILA MMOJA KWA MANUFAA YAKE ANAJARIBU KUTUMIA NGUVU NYINGI KUSHAWISHI WATU WAKUBALI KUWA SIYO FEDHA ZA UMMA ILI MRADI WAONEKANE WASHINDI KATIKA MABISHANO YA JF!!! AIBU SANA HII
 
Mpaka sasa bado naamini taarifa ya PAC huyo muhongo hajanishawishi na ripoti yake.
 
maswali gani bado hayajajibiwa?

Inategemea ulivyoelewa Ripoti ya CAG na TAKUKURU na utetezi wa WNM.Nimeangalia hoja zake na namna alivyozijenga.Zaidi zimeelemea kwenye tuhuma iliyojengwa kwenye tuhuma.

Siwezi kukulazimisha kuelewa namna nilivyoelewa.Siwezi kujua taaluma yako sababu taaluma yangu imenifanya nijiulize maswali mengi zaidi na zaidi.
 
Tito,ungelifanyia kazi hoja za Muhongo kama ukiwa na fikra huru bila kuweka urafiki au upenzi basi ujue,hakuna cha maana zaidi ya kujitetea kwa watawala wetu.

Kuna maswali mengi ambayo kuna watanzania wengi tunayo yamekosa majibu.Ukiliangalia sakata zima halina tofauti na namna ambavyo pesa za EPA zilichotwa kwa kisingizio mwenye nazo hajulikani.Na njia ni ile ile iliyotumika kuzikwapua.

Ukiwa mjanja utaelewa vyema zaidi kwa kujiuliza maswali mengi zaidi.Imenifanya nimdharau hata rais wangu,kuwa ni rais mdhaifu sana na yupo kwa maslahi zaidi.

Hoja ni kuwa kama PAC ilidanganya kwa nini muhongo & co walihangaika sana mahakamani na usiku kucha kuitafuta ripoti mpaka jamaa (Zitto&co) hawakulala wakakesha kuilinda?
 
Hans, taarifa katika mijadala hiweza kupatikana ndani ya majadiliano. Kama unazo mpya tupe tu mkuu, usiwe mchoyo. Huo ndio uhuru wa fikra na udugu wa kijamii

Soma taarifa zote harafu anzisha uzi ambao unakuwa na utafiti kamili si hiki kituko.
 
asilimia 90 ya data za pac wanachukua kutoka kwa cag na pccb,

hao nao wanafuata maelekezo ya mengi,,

unaonaje...

Tumia akili

The Big Show,mpaka watanzania tuje kuamka wengi wetu tutakuwa tumeshatangulia.Lakini kwa sasa kuna kizazi ambacho hakitaki longo longo,kinataka ukweli.Kwao siasa basi wanataka FACTS ndicho kinacholeta matatizo hata bungeni.Kizazi cha miaka 47 sasa wakati wao wa SIASA umeisha kizazi cha kidigitali hakitaki SIASA tena kinataka FACTS,hapo ndipo penye issue,kuwadanganya kizazi cha kidigitally ni kazo kubwa na ndiyo wameanza kuingia mjengoni,wazee wenzangu tuwe macho tunaenda vuliwa nguo huko tuendako.
 
Back
Top Bottom