Paaap 2026 Unaamka Unakutana na Hili

Paaap 2026 Unaamka Unakutana na Hili

Kweli mkuu.
Mojawapo ya kazi za SSIT ni kukutengenezea sifa usiyo nayo.
AG akiwa Palamagamba itapendeza, Mambo ya Ndani Sabaya anaimudu, Ardhi Vangimembe, Mambo ya Nje Bashiru (ni fani yake), Sheria mama Tiba, Fedha na Uchumi Riz (hii ya mwisho anatakiwa mwenye akili za ujasiriamali kama yeye ili aambukize raia).
 
Palamagamba muda ushamtupa mkono, msimpe hopes zisizo na msingi.
 
Reserve wapo mkuu:
Kabudi, Ole Sabaya, Lukuvi, Bashiru, Ngemera, Wasira, Bashe, Tibaijuka, Mulamula nk nk nk.
Hivi huyo Wasira hamuoni aibu kumtaja!? Zee lunajiishia zake lkn bado mnaliona hazina ya chama na serikali yenu!!??? Ujinga mtupu
 
TOP-TIER CABINET FOR 2026.

1. President of URT Samia Suluhu Hassan.

2. Vice President Philip Isdor Mpango.

3. Prime Minister Paul Christian Makonda.

4. Attorney General Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

TOP-TIER FOR CCM 2026.

1. Chairperson Samia Suluhu Hassan.

2. Deputy Chair Kassim Majaliwa Majaliwa.

3. Secretary General Luhaga Joelson Mpina.

4. Deputy Secretary General Humphrey Herson Polepole.

5. CCM Spokesperson Stephen Masatu Wasira.

NB
Kwenye siasa Punda na Pundamilia hawana tofauti.

Habari ni burudani pia, usighafilike? Toa maoni yako.
Tuendelee kukifurahisha
 
Hivi huyo Wasira hamuoni aibu kumtaja!? Zee lunajiishia zake lkn bado mnaliona hazina ya chama na serikali yenu!!??? Ujinga mtupu
Mtei ana miaka 91 ni mmiliki wa CHADEMA.

Bob Makani alipewa Uenyekiti wa CHADEMA akiwa na miaka 62 (Tz watu wanastaafu kwa miaka 60).

Haruna Lipumba ana miaka 72 ni M'kiti wa CUF.

Augustine Mrema amekufa akiwa na umri wa miaka 77 kama M'kiti wa TLP.

Emmanuel Makaidi amekufa na umri wa miaka 74 kama M'kiti wa NLD.

Ujinga 100%
 
Huna hoja, jinga tupu. Huyo Mtei anahusiana vipi na wasira!? Kwanza siyo mmiliki na siyo mwanasiasa mpaka sasa lkn pia hata kama angekuwa mwanasiasa ndo mnawaiga Chadema na Cuf!? Akili za sokwe hizo.
Nawashangaa hao wanaowalipa kuandika ujinga huku jf! Kumbe ndani ya CCM ujinga unalipa!
 
Back
Top Bottom