Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,563
- 96,178
Kigezo cha elimu kitamkwamisha au na yeye ana degree ?Makonda for presidency.2030!!
"Usimdharau mtu anaweza kuwa Bosi wako siku moja!
Kigezo cha elimu kitamkwamisha au na yeye ana degree ?Makonda for presidency.2030!!
"Usimdharau mtu anaweza kuwa Bosi wako siku moja!
Huyo simuoni kwakweli hana ushawishi na jumlisha bad reputation kwa wananchi, labda Bashiru.Na Sabaya tayari yuko waiting room kusubiri kuingia ofisi ya uteuzi.
81, ata akikaa kwa miezi 6 atakuwa ameisha escort timu. Ole Sendeka alisalimia tu na kuondoka kwenye wadhifa huo. Wasira alifanya digrii yake ya 3 ya uchumi akiwa na miaka 68 na kuibuka mwanafunzi bora. Tunazeeka miili kwa miaka ya kustaafu lakini brain power bado inakuwepo.# 5 ..atakua na miaka mingapi ikifika 2026 ..
BurudaniHaitawezekana kwani utaratibu wa kupata au kupewa hivyo vyeo hauwezi kufanyika sambamba au Kwa wakati mmoja.
Mfano waziri mkuu Kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa anapatikana hadi bunge litakapoitishwa wabunge waapishwe ndio PM apendekezww
Mimi pia namkubali Bashe ila Ubaguzi ni lazima utatembea naye 😅Hao wote hamna anaweza kusaidia nchi..Bora Bashe awe rais..anauwezo mkubwa sana wa kusaidia hii nchi
Ana digrii ya Cooperative ya chuo kikuu cha Sokoine chuo kishiriki cha MoCU. Aligraduate digrii pamoja na Mtume Mwamposa wa Arise and Shine.Kigezo cha elimu kitamkwamisha au na yeye ana degree ?
Sabaya aligusa watu wa kawaida hakugusa VIPs, watu wa kawaida hawateui, wanapewa tu aliyeishateuliwa, VIPs ndiyo wanateua. Aidha, kwenye siasa hakunaga adui wa kudumu kuna maslahi ya kudumu.Huyo simuoni kwakweli hana ushawishi na jumlisha bad reputation kwa wananchi, labda Bashiru.
Tofauti ya Makonda na Sabaya. Makonda anachukiwa na vigogo majizi pamoja na uongozi wa upinzani, ila wananchi wanamkubali.
Sabaya kawakera CCM wengi pro-against Magufuli kwa matendo yake, ana sifa mbaya kwa wananchi na kawakera mamlaka ya teuzi kwa jinsi alivyoachwa mahakama zimpe adabu.
Sioni Sabaya akirudishwa serikalini au kwenye chama kipindi hiki. Ama sivyo kila siku ile video yake ya Arusha akipora duka itakuwa ina trend Twitter na JF siioni CCM kutaka such publicity kwa sasa.
Hii comment imenitia uchungu moyoniHatari sana, ila naamini tutavumilia tu ndio sifa yetu kubwa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mbona team Msoga haiongelewi kwa sasa !Team Lowassa wewe.
Hilo la mwisho ndiyo ujumbe sahihi wa bandiko lako.Mimi pia namkubali Bashe ila Ubaguzi ni lazima utatembea naye [emoji28]
Na hili la Sukari nalo ni Zimwi kwake !
Ngoja tuone !
Urais unahitaji kuwa na degree hizo nafasi zingine unapewa hata std 7Ana digrii ya Cooperative ya chuo kikuu cha Sokoine chuo kishiriki cha MoCU. Aligraduate digrii pamoja na Mtume Mwamposa wa Arise and Shine.
Sokoine na Kawawa hawakuwa na digrii wakati wanakuwa PMs.
Sumaye alienda Harvard baada ya kustaafu Uwaziri Mkuu, aliingia kwenye cabinet akiwa na stashahada ya kilimo ya Egerton University Njoro Kenya.
Vyeti vipo vingi tu hata vya India vitapatikana !!Kigezo cha elimu kitamkwamisha au na yeye ana degree ?
Pole mkuu,Hii comment imenitia uchungu moyoni
Degree zinatolewa hata kwenye masomo ya online sio lazima uende darasani. !!Urais unahitaji kuwa na degree hizo nafasi zingine unapewa hata std 7
Kumbe ndio maana mnaburuzwa hovyo hovyo tu..degree za online ...Degree zinatolewa hata kwenye masomo ya online sio lazima uende darasani. !!
Kweli mkuu,Urais unahitaji kuwa na degree hizo nafasi zingine unapewa hata std 7
Kweli mkuu.Vyeti vipo vingi tu hata vya India vitapatikana !!
Hakuna kinachoshindikana wakubwa wakiamua !Kumbe ndio maana mnaburuzwa hovyo hovyo tu..degree za online ...
Hivi ni Mimi tu NAONA hivi na hizo wenge au na wengine wanaona hivi hiviTarehe 1/1/2006 baada ya kusherehekea kufunga mwaka 2025 na matokeo ya uchaguzi mkuu