lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Ni jambo jema
Chamani Dr Nchimbi ataendelea kuwa Katibu Mkuu na naibu wake ni Peter Selukamba
Team Lowassa wewe.
Ni jambo jema
Chamani Dr Nchimbi ataendelea kuwa Katibu Mkuu na naibu wake ni Peter Selukamba
Reserve wapo mkuu:Mara paap kwenye kikao cha CC ya CCM radi inapiga kwenye meza kuu wote wanageuka majivu. Raha iliyoje kwa Tanganyika yetuView attachment 2891628
Kumbe unajuwa siasa mkuu.Sitoshangaa kabisa Makonda kurudishwa serikalini ata kabla ya uchaguzi wa mwakani.
Nitakuwa raha yaani siku hiyo sipati pictures..ni furaha isiyokiwa na kifani.Mara paap kwenye kikao cha CC ya CCM radi inapiga kwenye meza kuu wote wanageuka majivu. Raha iliyoje kwa Tanganyika yetuView attachment 2891628
Ina maana hulijui lile jamaa lenye zigo la kuvunja chaga!Nipe jina inbox mkuu.
haha ww utakua mshenzi 🤣Nyamitako
Na Sabaya tayari yuko waiting room kusubiri kuingia ofisi ya uteuzi.Sitoshangaa kabisa Makonda kurudishwa serikalini ata kabla ya uchaguzi wa mwakani.
anatamanishaIna maana hulijui lile jamaa lenye zigo la kuvunja chaga!
Hii itakuwa ni Nchi ya Matamko 🤣🤣🤣TOP-TIER CABINET FOR 2026.
1. President of URT Samia Suluhu Hassan.
2. Vice President Philip Isdor Mpango.
3. Prime Minister Paul Christian Makonda.
4. Attorney General Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
TOP-TIER FOR CCM 2026.
1. Chairperson Samia Suluhu Hassan.
2. Deputy Chair Kassim Majaliwa Majaliwa.
3. Secretary General Luhaga Joelson Mpina.
4. Deputy Secretary General Humphrey Herson Polepole.
5. CCM Spokesperson Stephen Masatu Wasira.
NB
Kwenye siasa Punda na Pundamilia hawana tofauti.
Habari ni burudani pia, usighafilike? Toa maoni yako.
Mzee six alifaidi sanaanatamanisha
aah masihara mzee alikua mdau???Mzee six alifaidi sana
Unatoaje maoni kwenye burudani? Acha burudani ibaki kuwa burudaniHabari ni burudani pia, usighafilike? Toa maoni yako.
Watamreplace na Lengai Ole Sabaya, kwenye siasa Punda na Pundamilia ni kitu kile kile.Nyamitako
# 5 ..atakua na miaka mingapi ikifika 2026 ..TOP-TIER CABINET FOR 2026.
1. President of URT Samia Suluhu Hassan.
2. Vice President Philip Isdor Mpango.
3. Prime Minister Paul Christian Makonda.
4. Attorney General Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
TOP-TIER FOR CCM 2026.
1. Chairperson Samia Suluhu Hassan.
2. Deputy Chair Kassim Majaliwa Majaliwa.
3. Secretary General Luhaga Joelson Mpina.
4. Deputy Secretary General Humphrey Herson Polepole.
5. CCM Spokesperson Stephen Masatu Wasira.
NB
Kwenye siasa Punda na Pundamilia hawana tofauti.
Habari ni burudani pia, usighafilike? Toa maoni yako.
Mmmh! Niliwahisikia hilo jina akiitwa yule KM wa upinzani, sijui mie.Ina maana hulijui lile jamaa lenye zigo la kuvunja chaga!
Anakarabatiwa tu, wanasiasa hakuna mapooza.Hii itakuwa ni Nchi ya Matamko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sio nchi ya Utendakazi [emoji1787][emoji1787]
Ila mgombea mwenza wa Sa100 hawezi kuwa tena Mpango..
Time will tell,...Tunza hii comment
Kweli mkuu, mfano ni JK na JPM.Makonda for presidency.2030!!
"Usimdharau mtu anaweza kuwa Bosi wako siku moja!
Haitawezekana kwani utaratibu wa kupata au kupewa hivyo vyeo hauwezi kufanyika sambamba au Kwa wakati mmoja.Tarehe 1/1/2006 baada ya kusherehekea kufunga mwaka 2025 na matokeo ya uchaguzi mkuu na kuapishwa SSH, hamad! unaamka unakutana na timu hiyo.