stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Sasa nani kati yetu anategemea maneno ya kusikia? Mimi au wewe unaefanya reference kwenye video? By the way, wapi nimesema Bongo Records ni kijiwe cha wala unga?halafu unajifanya unajua sana maneno machafu....sasa sikiliza, tafuta namba zingine za kuchezea; endelea!
hujui kitu katika masuala ya haki miliki PRODUCER NDIO MMLIKI WA BEAT WHILE ARTIST ANAKUA ANAKOPESHA BEAT HACHA UMBURURA.
We ndo ulikuwa unanitafutia ban coz' hakuna popote ambako nilitumia offensive language dhidi yako lakini wewe unaelekea mtaalamu sana wa hayo mambo na ndio maana nikakuambia endelea....wakati we unaogopa ban; binafsi ban inakuwa ni kama kumpiga teke chura.Mkuu utanitafutia Ban tu,,,Wasalimie Ushenzini!!
Clouds Fm kama ni waungwana wakutane na wadau mbalimbali wajadili kwa nini wao wamekuwa kwenye lawama nyingi.Naamini Kusaga atatumia busara maana mchango wake pia ni mkubwa sana si vizuri sifa yake ikaharibiwa na mambo yanayozungumkika kuwasaidia hawa vijana na muziki kwa ujumla hasa kwa nafasi yake kama Mdau mkubwa kabisa wa muziki.
mkuu Sisi tunaongea mambo ambao hatujui majani kaanza kurekodi mwaka 1995 AKIWA 15 AGE BAADA YA KUHITIMU MASOMO UHOLANZI (SAE INSTITUTE OF ENGENEERING) na kama tunakumbuka kipindi hicho clouds haikuepo bali ilikuepo radio 1 ambao ndio waliochangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa muziki wa bongo fleva JE KWANINI HAWA CLOUDS AMBAO NDIO WAMEANZA KIPINDI CHA 2000s Ndio wanyoshewe kidole na kama mnakumbuka haya masuala ya majani na ruge hayajaanza mda huu,ruge kwa ulafi wake alimmega sinta wa juma nature ndio hapo ugomvi ulipoanza trace songs like sitaki demu na kisa demu kwaiyo CLOUDS HAWAFAI.