P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

50 cent kuna mahojiano aliulizwa kuhusu diddy..akasema kuwa walihudhuria sherehe flani hivi kipindi hicho halafu diddy akamwambia 50 cents kuwa anataka ampeleke akafanye shopping!!

50cents alishtuka akamwambia unasemaje? Diddy akakausha.
Diddy akikwambia kuwa anataka akupeleke ukafanye shopping maana yale anataka ukalale nae.


Jamaa diddy ni closet gay.
Na akikukaribisha kwa Party zake kataaa 😂😂😂
 
Kuna interview moja...usher aliuliza na mtangazaji kuwa kama baba mwenye watoto ,je yupo tayari kumpeleka mwanawe alelewe nyumbani kwa diddy....alijibu "HELL NO"

Usher aliwahi kuishi mwaka mzima nyumbani kwa diddy pindi alipokuwa na miaka 14.
😂😂😂
 
Epstein alikuwa anawarekodi hao clients wake wakati wakifanya ngono na watoto wadogo kwenye majumba yake kule New Mexico na New York na baadaye kutumia hizo videos kushinikiza analolitaka ,kama ni pesa au kitu chochote .
Hadi mtoto wa queen Elizaberth ,yule prince Andrew ana kashfa nzito ya kuhusika kwenye hizi sexual orgies na watoto wadogo kwenye mojawapo ya jumba la Epstein .
Na si huyo tu ,wapo watu wengi kibao matajiri na watu wenye influence duniani kwenye ile Epstein. Clients list .
Mi kwamba tu kuna baadhi ya watu wanafichwa maana ikitolewa yote , hapata kalika .
Ni balaa na nusu ,maana hata kifo chake kule gerezani ,huyo Jefrey Epstein kilikuwa cha utata sana , ni mambo ya ajabu na uhuni kama unaofanyika hapa Tanzania kwenye vituo vya polisi kwamba mtu ajinyonge gerezani , yawezekana waliamua kumtoa kafara ili kuficha baadhi ya mambo maana kuna watu powerful zaidi walikuwa clients wake so kuficha ukweli zaidi wakaamua kumuua gerezani
Lakin ile list wanatajwa wengi sana hadi bill clinton
 
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.

Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia kuliko hata unavyofikiria. Alisimamia mchongo mzima wa kumuondia Tupac, watu wakaenda mbali na kusema jamaa alishiriki kummaliza hata BIG kwa kiwa alitaka kuwa peke yake kwenye lebel ya Bad Boyz. Akajua Faith Evance kwake si tatizo lolote, atajua kuishi naye kuliko BIG.

Halafu mambo anayozungumziwa kuwaingilia kinyume na maumbile wanaume wenzake yanashamiri sana, mchungaji TD Jakes na Jamie Foxx wanaweza kutuambia zaidi kwenye hili.

Ukizunguana na P Diddy, sahau kuwa nominated na tuzo za Grammy, mwamba ana maubabe yake kishenzi.

Ila dunia ni hiihii, kuwa mafia ujuavyo, end of the day utakuja kulipa hapahapa duniani.

Karma is a B*itch.
Wamempoteza R.Kelly,Cosb then sasa zamu ya P Diddy hata Jay Z ajiangalie sana kinachofanyika nikuwapoteza all black Americans matajiri ili watu wachukue mkwanja,kuna white people wanafanya unyama kuliko waliofanya haya lkn kwakua network hao nzuri maisha yanaenda tu busiki chochote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom