Future Bishop
Member
- Dec 4, 2009
- 75
- 17
Kama kweli unampenda mwenzi wako kwa dhati, na hukulazimishwa na mtu yeyote kumpenda; BASI una kila sababu ya kumwonyesha salary-slip yako na marupurupu mengine pia.......
UTAKE USITAKE, HABARI NDO HIYOOOO!!!!!!!

hivi shori wako akijua salary yako tatizo liko wapi? mie shori akiwa ananikamua mijihela ndio nasikia raha......
Mi sioni umuhimu wa kuficha, pia si mume tu, bali yeyote yule, sioni point ya kumficha mtu yeyopte yule anayetaka kujua napata ngapi.
mko wachache sana wa kihivyoHata mimi aisee,yaani kama shori ananipiga mizinga najiona very secure na mali zangu kuliko yule anaejitia kila kitu anafanya mwenyewe.
napata 320,000/=😀wapata ngapi carmel?......(hapa sidhani kama nitapata jibu)
napata 320,000/=😀
uzuri una akili sana wewe, hilo nalijuanenda kakague nime do ze nidiful, (ila hapa najuai changa la macho sema siwezi kubisha vile sina facts)
Bado hayajakukuta.. Wewe ndio utakuwa wa kwanza kuficha na kuwashauri wengine wasioneshe...