Bongo Record Vs Mj-Record:Kati ya P-Funk Majani na Master Jay nani alitengeneza ngoma kali zaidi?

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
1548068005155.png


1548068102145.png
n

Master J - Mj Records.
1. Nakupenda tu - konki
2. Sintobadilika - Mike T
3. T shirt na Jeans - university corner
4. Tanga Kunani - wagosi wa kaya
5. Sifai - Q Jay
6. Ingewezekana - D knob
7. Kariakoo - dully sykes
8. Niite basi - joseline
9. Mi msai - mr ebo
10. Huyu na Yule - Fid Q
11. Bab kubwa - planet 2000
12. Demu wangu - Ngwea na mchizi mox.
13. Nakuhusudu - Mr paul
14. Tulia - Mh temba ft Ray c

P funk - Bongo Records.
1. Gheto langu - Ngweah
2. Piga makofi - prof jay
3. Sitaki demu - Juma Nature
4. Kibanda cha simu - Sogy Dogy
5. Mwanza Mwanza - fid Q
6. Usinichukie - Afande Sele
7. Bosi - Ferooz
8. Imekaa Vibaya - Kali P
9. Ya leo Kali - Wachuja Nafaka.
10. Nipe tano - Daz Nundaz
11. Hakuna Kulala - nature
12. Dj - Sister P
13. Nakupenda - Mike T ft Nature
14. Nikupe nini - Mandojo na Domokaya

Hizi ni baadhi ya nyimbo kutoka kwa Mj chino ya mj records na Majani chini ya Bongo Records.

Kwangu mimi kura inaenda kwa Majani nadhani Mj hata kwa mika mwamba haingii.

===

Master J - Mj Records.
1. Nakupenda tu - konki
2. Sintobadilika - Mike T
3. T shirt na Jeans - university corner
4. Tanga Kunani - wagosi wa kaya
5. Sifai - Q Jay
6. Ingewezekana - D knob
7. Kariakoo - dully sykes
8. Niite basi - joseline
9. Mi msai - mr ebo
10. Huyu na Yule - Fid Q
11. Bab kubwa - planet 2000
12. Demu wangu - Ngwea na mchizi mox.
13. Nakuhusudu - Mr paul
14. Tulia - Mh temba ft Ray c

P funk - Bongo Records.
1. Gheto langu - Ngweah
2. Piga makofi - prof jay
3. Sitaki demu - Juma Nature
4. Kibanda cha simu - Sogy Dogy
5. Mwanza Mwanza - fid Q
6. Usinichukie - Afande Sele
7. Bosi - Ferooz
8. Imekaa Vibaya - Kali P
9. Ya leo Kali - Wachuja Nafaka.
10. Nipe tano - Daz Nundaz
11. Hakuna Kulala - nature
12. Dj - Sister P
13. Nakupenda - Mike T ft Nature
14. Nikupe nini - Mandojo na Domokaya

Hizi ni baadhi ya nyimbo kutoka kwa Mj chino ya mj records na Majani chini ya Bongo Records
 
Bongo record ilikuwa noma sana, salama jabir anasema alikuwa anapitia ngoma zaidi ya 20 za kupiga kwenye kipindi chake cha planet bongo kila jumamosi asubuhi na zote zinaingia top 10 next week.
P-funk genius level talent yake ilikuwa ni kufanya Kazi na akina Dr Dre na snoopy dog na sio Juma kiroboto.

Master jay yule Mangi ni mbabaishaji tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbushe list ya ngoma za pfunk..na master j..

Sent using Jamii Forums mobile app
Master J - Mj Records.
1. Nakupenda tu - konki
2. Sintobadilika - Mike T
3. T shirt na Jeans - university corner
4. Tanga Kunani - wagosi wa kaya
5. Sifai - Q Jay
6. Ingewezekana - D knob
7. Kariakoo - dully sykes
8. Niite basi - joseline
9. Mi msai - mr ebo
10. Huyu na Yule - Fid Q
11. Bab kubwa - planet 2000
12. Demu wangu - Ngwea na mchizi mox.
13. Nakuhusudu - Mr paul
14. Zaidi ya Jana - Q Chillah

P funk - Bongo Records.
1. Gheto langu - Ngweah
2. Piga makofi - prof jay
3. Sitaki demu - Juma Nature
4. Kibanda cha simu - Sogy Dogy
5. Mwanza Mwanza - fid Q
6. Usinichukie - Afande Sele
7. Bosi - Ferooz
8. Imekaa Vibaya - Kali P
9. Ya leo Kali - Wachuja Nafaka.
10. Nipe tano - Daz Nundaz
11. Hakuna Kulala - nature
12. Dj - Sister P
13. Nakupenda - Mike T ft Nature
14. Nikupe nini - Mandojo na Domokaya

Hizi ni baadhi ya nyimbo kutoka kwa Mj chino ya mj records na Majani chini ya Bongo Records.

Kwangu mimi kura inaenda kwa Majani nadhani Mj hata kwa mika mwamba haingii.
 
Master J - Mj Records.
1. Nakupenda tu - konki
2. Sintobadilika - Mike T
3. T shirt na Jeans - university corner
4. Tanga Kunani - wagosi wa kaya
5. Sifai - Q Jay
6. Ingewezekana - D knob
7. Kariakoo - dully sykes
8. Niite basi - joseline
9. Mi msai - mr ebo
10. Huyu na Yule - Fid Q
11. Bab kubwa - planet 2000
12. Demu wangu - Ngwea na mchizi mox.
13. Nakuhusudu - Mr paul
14. Tulia - Mh temba ft Ray c

P funk - Bongo Records.
1. Gheto langu - Ngweah
2. Piga makofi - prof jay
3. Sitaki demu - Juma Nature
4. Kibanda cha simu - Sogy Dogy
5. Mwanza Mwanza - fid Q
6. Usinichukie - Afande Sele
7. Bosi - Ferooz
8. Imekaa Vibaya - Kali P
9. Ya leo Kali - Wachuja Nafaka.
10. Nipe tano - Daz Nundaz
11. Hakuna Kulala - nature
12. Dj - Sister P
13. Nakupenda - Mike T ft Nature
14. Nikupe nini - Mandojo na Domokaya

Hizi ni baadhi ya nyimbo kutoka kwa Mj chino ya mj records na Majani chini ya Bongo Records.

Kwangu mimi kura inaenda kwa Majani nadhani Mj hata kwa mika mwamba haingii.
Hapo namba 14 za mj ni rekodi ya dunga. Kwa hiyo weka zaidi ya jana - Q Chief
 
Mkuu naanza kwa kukosoa ..Demu wangu ya MOX ft ngwea ilirecordiwa bongo record na p funk
Mkali n p funk

From profile picture to proper future
Unachanganya mikasi na demu wangu, demu wangu ndio ngoma za mwisho mwisho za mj kabla ya kumuajili marko chali.
 
P-funk majani..baba lao..alinipigia starehe ya ferooz hatari sana ....Master J hamna kitu, dharau nyingi na ujuaji hata mziki hajui...ila kanitolea dogo anaitwa Daxo chali, yupo poa dogo..alinipigia kidebe ya dogo njanja nikamuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom