Avith almachius
Senior Member
- Aug 20, 2022
- 167
- 170
Oya wakuu nimeachwa ata kablya Yesu hajazaliwa🙌ðŸ˜ðŸ˜ðŸ’” mapenzi ni ujinga
Unakatwa na wachawiItakuwa kapuku mixer kimoko chali.
Mpenzi muaminifu pekee ni kiganja chako. Hakikusaliti kamwe.
😂😂😂😂😂Mwanaume akipata pesa bado anaendelea kutafuta pesa break ni kifo na mwanamke akipata mme bado ataendelea kutafta mme break ni kifo
Pole sana. Maisha ndivyo yalivyo siku zote. Charles Darwin aliitambua hii kitu kama Survival of the fittest! Wakati unalia kuachwa, kuna mwenzako huko naye anafurahia kumpata huyo manzi yako.Oya wakuu nimeachwa ata kablya Yesu hajazaliwa🙌ðŸ˜ðŸ˜ðŸ’” mapenzi ni ujinga
Nimechekaa hatariiiii, 😂😂😂😂Mapenzi ni uhaini
Dah pole yake ....