Mkuu hii picha umeicopy humu humuhumu na kupaste. Angalia thread ya punda afe mzigo ufike. Mia
Huu sasa nyanyasaji wa wanyama!!
ok...nice to know tht they are people with identical thoughts!punda ni mnyama ambae anabeba mizigo lakini isiwe na uzito kumzidi yeye mwenyewe!Binadamu tuko tofauti sana.
Mi sipendi kabisa utumikishwaji wa wanyama.
Mkuu hii picha umeicopy humu humuhumu na kupaste. Angalia thread ya punda afe mzigo ufike. Mia
Ha ha ha leo nmecheka sana..nani ndo mzigo hapo sasa..
Sijambo babe. Pole na mihangaiko ya kutwa nzima. Nakupenda sana. Hugsss...!!!. miawengine hatukuionaga......uko salama mume wangu
Sijacopy humu bhana