hang'olwa
JF-Expert Member
- Apr 23, 2013
- 538
- 195
hovyo!Mkuu usifate wanavokwambia OD ikibonyezwa ndo inakua ON hapana, Ikiwa haijabonyezwa ndio inakua ON, na pale ndo hua ina-save mafuta.... Binya hata google utaona sites zote zitakuletea nini...
hovyo!Mkuu usifate wanavokwambia OD ikibonyezwa ndo inakua ON hapana, Ikiwa haijabonyezwa ndio inakua ON, na pale ndo hua ina-save mafuta.... Binya hata google utaona sites zote zitakuletea nini...
Salaaam wakuu
Mie nmekuwa nkipata shida katka kuitumia button ya OD kwenye gar yangu,maana nlikuwa nkiweka one afu kwenye dash body mwanga wa neno O/D off haukuwa unatokea na hapo ndo nliambiwa inasave mafuta na mtu mwingne kaja kanambia ukiiweka off mwanga ukatokea ndo inasave mafuta.....nahitaji msaada wenu wana jamvi nahitaj maelezo ya kutosha juu ya hiki kidude.
Nawasilisha wakuuu
Sent from my iPhone using JamiiForums.
hovyo!
Hachana na "BUSH makenika" consult your real mechanic!
Hapa naona wana kupeleka chaka tu!
Tuheshimu kazi za watu! I wonder kama wataalamu wa magari wako humu JF-coz majority are introverts!
majibu yaliyotolewa bado hayajaeleweka. Inapokuwa imewashwa inamaanisha pale mwanga unapokuwa unatokea kwenye dash board au wakati hakuna mwanga unaonekana?
Overdrive on ni pale (kwa wale button ziko kwenye gear za chini pembeni sina uhakika kwa staff gear) button inapokuwa ndani na maana umeikandamiza ndani au umeiminyia ndani na OD off pale inapotoka nje. Kazi yake OD on huifanya engine izunguke kidogo lakini mwendo kasi uwe mkubwa na kuifanya gari isile mafuta sana. It best perform at a speed more than 70km/hr. If you are driving a car with revolution per min rpm scale on your dashbody put OD off and drive till 100km/hr while checking rpm scale then switch OD on at the same speed you will find the rpm scale is sharply dropping down and the car speed increases slightly. If two similar engines run a cars at the same velocity but one with low rpm whilst the other with high rpm, consequently the one with high rpm will consume more fuel than with low rpm at the same velocity.
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Yeah, there you mkuu! The truth and scientific answer! You can try and realize yourself!
Aaah! Android! I meant: There you are mkuu!
majibu yaliyotolewa bado hayajaeleweka. Inapokuwa imewashwa inamaanisha pale mwanga unapokuwa unatokea kwenye dash board au wakati hakuna mwanga unaonekana?
Ha ha ha haaaa kama overdrive!!!!
Si unajua, inasumbua kidogo, usipoedit mara kadhaa utakuta maneno tofauti! Sema pc hatuzipendi kwa kuwa ukubwa wake na watu tunaepuka kubeba mizigo!
Kwa jinsi nilivyowaelewa wadau hapo juu ni kwamba ukiwa unaendesha ktk mazingira ya kawaida taa HAITAKIWI kuwepo (i.e hapo ndipo OD inakuwa ON - to save fuel) ila kama unataka ku-overtake au kupanda mlima taa INATAKIWA kuwepo (i.e hapo ndipo OD inakuwa OFF - fuel consumption inakuwa kubwa na unapata rpm kubwa, mwendo wa gari unaongezeka).
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Inkoskaz kajibu. Naona wajapan walikosea haiwezekani ikiwa imewaka ndo imezimwa, na ikiwa imezimwa ndo iko off!
Hii topic kila kukicha inanzishwa, halaf natoka kappa
Sasa correct me if am wrong: ILE TAA KWENYE DASHBOD HAITAKIWI IWEPO ILI U-SAVE MAFUTA, sawa au sio sawa?
Naommba jibu liwe tu SAWA aU SIO SAWA ili musiendeleee kunichanganya
Kama kuna mwanga ujue ipo off hata mwendo wa gar utaona unapungua na mwanga unapozima ujue ipo ON na mwendo wa gar huongezeka kadri unavyoongeza mwendo!
What is the Overdrive Button for an Automatic Transmission? - Yahoo Voices - voices.yahoo.com
What exactly is "overdrive" for on a car, and why is there an option to turn it on and off?
Ask the experts: Automatic overdrive
em fungua usome link tatu, kama unataka nyingine ntaongeza, Asante kwa kuniona ovyo.... kwa kua nimemwambia a-search online kugundua on/off ni ipi, mtanzania moja ushaniponda ukijifanya mjuaji huku mnatoa answers zisizo za kweli.. kama hujui unatafuta, internet ipo kwa ajili ipi? Ovyo!!
SAWA, taa haitakiwi kuwaka.

si sawa,inatakiwa kuwaka ila iandike O/D OFF ila ni sawa haitakiwi kuwaka kama ikiandika neno O/D bila ya kuweka neno OFF