Over drive button

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,891
1,211
Salaaam wakuu
Mie nmekuwa nkipata shida katka kuitumia button ya OD kwenye gar yangu,maana nlikuwa nkiweka one afu kwenye dash body mwanga wa neno O/D off haukuwa unatokea na hapo ndo nliambiwa inasave mafuta na mtu mwingne kaja kanambia ukiiweka off mwanga ukatokea ndo inasave mafuta.....nahitaji msaada wenu wana jamvi nahitaj maelezo ya kutosha juu ya hiki kidude.
Nawasilisha wakuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
O/D inalimit gari lisiende mwendo zaidi ya 3rd gear....... yaani hutumika katika miteremko mikali au mlima. Inapokuwa imewashwa maana yake gar inakuwa huru kuenda zaidi ya gear namba 3 yaani 4 na kuendelea......

Natumaini nimekusaidia kwa kiasi fulani:D
 
inapokuwa ON(taa haiwaki ktk dashboard)hutumia mafuta kidogo .na unapoiweka OFF(taa ktk dashboard huwaka) hapo hutumia mafuta mengi kwani engine huongeza nguvu na rpm na spidi
 
majibu yaliyotolewa bado hayajaeleweka. Inapokuwa imewashwa inamaanisha pale mwanga unapokuwa unatokea kwenye dash board au wakati hakuna mwanga unaonekana?
 
Cc OLESAIDIMU unahitajika huku.
 
Last edited by a moderator:
O/D inalimit gari lisiende mwendo zaidi ya 3rd gear....... yaani hutumika katika miteremko mikali au mlima. Inapokuwa imewashwa maana yake gar inakuwa huru kuenda zaidi ya gear namba 3 yaani 4 na kuendelea......

Natumaini nimekusaidia kwa kiasi fulani:D

Hapo sikuungi mkono hata kidogo hilo sijawahi liona hata usipowasha mbona inatembea sana.
 
O/D inalimit gari lisiende mwendo zaidi ya 3rd gear....... yaani hutumika katika miteremko mikali au mlima. Inapokuwa imewashwa maana yake gar inakuwa huru kuenda zaidi ya gear namba 3 yaani 4 na kuendelea......

Natumaini nimekusaidia kwa kiasi fulani:D

Hapo sikuungi mkono hata kidogo hilo sijawahi liona hata usipowasha mbona inatembea sana kuashiria ni zaidi ya 3.
 
Overdrive on ni pale (kwa wale button ziko kwenye gear za chini pembeni sina uhakika kwa staff gear) button inapokuwa ndani na maana umeikandamiza ndani au umeiminyia ndani na OD off pale inapotoka nje. Kazi yake OD on huifanya engine izunguke kidogo lakini mwendo kasi uwe mkubwa na kuifanya gari isile mafuta sana. It best perform at a speed more than 70km/hr. If you are driving a car with revolution per min rpm scale on your dashbody put OD off and drive till 100km/hr while checking rpm scale then switch OD on at the same speed you will find the rpm scale is sharply dropping down and the car speed increases slightly. If two similar engines run a cars at the same velocity but one with low rpm whilst the other with high rpm, consequently the one with high rpm will consume more fuel than with low rpm at the same velocity.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Overdrive kama ilivyo Ni gear ya juu unapohitaji mwendo na fuel consumption ndogo au gia namba 5. Mara nyingi gari za kawaida huwa na Gear 4 na ya tano ndio final au O/D hivyo kwa hali ya kawaida inabidi iwe ON na dashboard isionyeshe kitu hivyo utakuwa unadrive kwa moangilio unaotakiwa wa gear yaani 1_2,2-3,3-4 na hatimaye 4-5.Lakini ikiwa O/D OFF(taa ya dashboard itawaka kukutahadharisha) kuwa unadrive mwisho gear no 4 tu hata kama engine revolution ipo high.yaani unacruise na power zaidi na unatumia more fuel ndio maana hata taa itawaka kukukumbusha
Normal it should be ON_ but the light is off! Na ukiweka OFf ni pale unapohitaji kuongeza nguvu kama kuovertake ama kupanda mlima.yaani ingekuwa manual ni unapangua gia kurudi gia kubwa upate nguvu zaidi kuoanda mlima ama kuovertake na hivyo kunywa zaidi mafuta
Matumizi ya kawaida OD iwe off na taa ya kwenye dashboar isiwake
Kumbuka taa nyingi za Dashboard ni ALERTS au WARNINGS kuwa kuna kitu kipo katika hali isiyo ya kawaida kimatumizi
 
Hii topic kila kukicha inanzishwa, halaf natoka kappa

Sasa correct me if am wrong: ILE TAA KWENYE DASHBOD HAITAKIWI IWEPO ILI U-SAVE MAFUTA, sawa au sio sawa?
Naommba jibu liwe tu SAWA aU SIO SAWA ili musiendeleee kunichanganya
 
mwee huku hakunaga cha OD eeh :nono:

2290.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ral
Hii topic kila kukicha inanzishwa, halaf natoka kappa

Sasa correct me if am wrong: ILE TAA KWENYE DASHBOD HAITAKIWI IWEPO ILI U-SAVE MAFUTA, sawa au sio sawa?
Naommba jibu liwe tu SAWA aU SIO SAWA ili musiendeleee kunichanganya

SAWA :happy:
 
Ata mimi mwenyewe hii O/D uwa nabaki dilemma watusaidie majibu wadau
 
Kwa jinsi nilivyowaelewa wadau hapo juu ni kwamba ukiwa unaendesha ktk mazingira ya kawaida taa HAITAKIWI kuwepo (i.e hapo ndipo OD inakuwa ON - to save fuel) ila kama unataka ku-overtake au kupanda mlima taa INATAKIWA kuwepo (i.e hapo ndipo OD inakuwa OFF - fuel consumption inakuwa kubwa na unapata rpm kubwa, mwendo wa gari unaongezeka).

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Overdrive kama ilivyo Ni gear ya juu unapohitaji mwendo na fuel consumption ndogo au gia namba 5. Mara nyingi gari za kawaida huwa na Gear 4 na ya tano ndio final au O/D hivyo kwa hali ya kawaida inabidi iwe ON na dashboard isionyeshe kitu hivyo utakuwa unadrive kwa moangilio unaotakiwa wa gear yaani 1_2,2-3,3-4 na hatimaye 4-5.Lakini ikiwa O/D OFF(taa ya dashboard itawaka kukutahadharisha) kuwa unadrive mwisho gear no 4 tu hata kama engine revolution ipo high.yaani unacruise na power zaidi na unatumia more fuel ndio maana hata taa itawaka kukukumbusha
Normal it should be ON_ but the light is off! Na ukiweka OFf ni pale unapohitaji kuongeza nguvu kama kuovertake ama kupanda mlima.yaani ingekuwa manual ni unapangua gia kurudi gia kubwa upate nguvu zaidi kuoanda mlima ama kuovertake na hivyo kunywa zaidi mafuta
Matumizi ya kawaida OD iwe off na taa ya kwenye dashboar isiwake
Kumbuka taa nyingi za Dashboard ni ALERTS au WARNINGS kuwa kuna kitu kipo katika hali isiyo ya kawaida kimatumizi

Uko sawa kwa uelewa wangu mkuu Inkoskaz

Cc MANI
 
Well said. Kwa kawaida unapokuwa unaendesha hakuna taa yoyote inayotakiwa kuwa inawaka kwenye dash board yako zaidi ya zile za gear selector yaani ni taa ya D ndiyo inatakiwa iwe inawaka. kama kuna yoyote inawaka maanake kuna kitu hakijafanyika mfano kufunga mkanda, mlango, mafuta, oil, taa kuungua nyuma, kuungua kwa fuse fulani ambapo engene light huwaka na kadhalika. Dash board ni information board. Kama unaovertake na unahitaji kuongeza nguvu ya gari ndio o/d off kwa maana kuwa taa iwake ili kuongeza kasi kisha baadaye kaminye hako ka buttoni ili taa izime na chapa mwendo.
 
Mkuu usifate wanavokwambia OD ikibonyezwa ndo inakua ON hapana, Ikiwa haijabonyezwa ndio inakua ON, na pale ndo hua ina-save mafuta.... Binya hata google utaona sites zote zitakuletea nini...
 
Back
Top Bottom