Over 150 vacancies...Try your lucky !

bongo kazi zinawenyewe...

Mkuu hii statement yako iko kama inalenga kuwafanya watu wasiombe hizo nafasi...

Wadau changamkieni hizo kazi hakuna cha kazi zina wenyewe wala nini ni uwezo na qualification zako kama ziko safi kazi unapata.
 
Bongo kazi kweli kweli jamani, msh 190,000! na hapo hawajaondoa kodi! yaani hata kwa mafuta kwa ajili ya gari la nani hiii... hayatoshi halafu huyu ndio anapewa kama mshahara.........
 
no way hizo kazi zipo tuu.....vijana na ndugu zetu waombe waingie serikalini mara moja.....nafasi ndizo hizo............
 
Bongo kazi kweli kweli jamani, msh 190,000! na hapo hawajaondoa kodi! yaani hata kwa mafuta kwa ajili ya gari la nani hiii... hayatoshi halafu huyu ndio anapewa kama mshahara.........
Na ndio maana mtu akiingia anaanza kwanza kuwa fisadi-dagaa na baadae mambo yakijipa anakuwa fisadi-papa. Bongo bana, kazi kweli kweli. Inasikitisha, lakini tutafika tu!
 
Mishahara kichefuchefu!! Juzi hapa watu wa TANAPA walitangaza kazi office attendant wa form IV mshahara 650,000/=, leo wizara hii inasema economist mwenye degree umpe 400,000/?? Hii ni nchi moja au mbili tofauti? Hapa kuna thamani ya msomi au ni kudhalilishana? Tutapambana na rushwa kweli???? Khaaa !! Kichefuchefu!!
 
nice post
but means ambao hatuna vyeti hatuko on the position to apply?
mi nna transcript watani consider?
 
bongo tambarale wewe kama mshahara hautoshi basi acha usiombe ngoja mpaka aje presdent ambaye atatoa mshahara wa kukutosheleza mzee!!!na sijui utangoja hadi lini maana naona ufisadi ndio unazidi kutumaliza tu bora uombe sasa na utajilipa ukiwa humohumo man!!!watu wanalipwa mishahara hiyo lakini wana vitambi vinatoka wapi!
 
Bongo kazi kweli kweli jamani, msh 190,000! na hapo hawajaondoa kodi! yaani hata kwa mafuta kwa ajili ya gari la nani hiii... hayatoshi halafu huyu ndio anapewa kama mshahara.........
 
Tatizo pesa nyingi ktk bajeti inapelekwa kwenye posho za vikao na safari+semina.
Taasisi kama TANAPA,TRA nk zina utaratibu wamejiwekea ambazo zinatumika kuendeshea shughuli zao na serikali kuu haiwaingilia maana tayari ilisha ruhusu hayo kwa mujibu wa sheria.Leo tunaona BOT wanakopeshana hadi 100 milioni lakini mfanyakazi kama mwalimu akikopa pesa nyingi sana ni 6 milions na riba ipo juu sana.MAMBO YANAJIENDEA TU.
Kama vp wewe omba kazi upate uzoefu ambao huenda ukakusaidia baadae.
 
Bongo kazi kweli kweli jamani, msh 190,000! na hapo hawajaondoa kodi! yaani hata kwa mafuta kwa ajili ya gari la nani hiii... hayatoshi halafu huyu ndio anapewa kama mshahara.........

ungejua thamani ya hiyo 190 kwa mtu aliyekaa kijiweni na kukosa hata hela ya mlo mmoja usingeleta mifano yako ya mafuta ya gari kwenye nchi kama hii ambayo zaidi ya nusu ya wananchi wake wanaishi kwa chini ya 1000 tshs,
unajua hizo 190000 ni zaidi ya 6000 kwa siku?acheni kukatisha watu tamaa kama unaona hazikutoshi na huzihitaji kuna watu kibao mtaani na vyeti vyao wanazihitaji hizo,
mnaboa kweli kwa ubwege wenu wa kujiona ukishakuwa na kagari basi unataka kila mtu afanye kazi ya kumuwezesha kununua gari kesho ili aendapo kazini awe na kausafiri kake,
 
Nimefurahishwa sana na hizo nafasi za social welfare officer. Nadhani ni first time in Tz kuwa na kitu kama hicho au kilikuwepo lakini kama kawa serikalini kusaini buku la mahudhurio (jana na leo) mtu analala mbele. Anywayz

1. Inaonekana hii kazi ndio ina responsibilities nyingi kuliko zote zilizotangazwa, je kuna training itatolewa? Itatolewa na nani? na wapi?

2. Usalama wa hawa social welfare officers unahakikishwa vp? Maana kudili na wahalifu au ex-wahalifu anything can happen? Je kuna bima wanawekewa?
 
nice post
but means ambao hatuna vyeti hatuko on the position to apply?
mi nna transcript watani consider?
If you have read careful, wamesema no transcript shall be accepted. ila jaribu bahati, unaweza kuta wamekosa option wakakuchukua.
Hizi kazi zipo, ila tu huo mshahara jamani, serikali inatupeleka wapi lakini? a whole graduate unamlipa gross ya laki nne? than unamlaumu akila rushwa? no way, lazima rushwa iendelee.
 
ungejua thamani ya hiyo 190 kwa mtu aliyekaa kijiweni na kukosa hata hela ya mlo mmoja usingeleta mifano yako ya mafuta ya gari kwenye nchi kama hii ambayo zaidi ya nusu ya wananchi wake wanaishi kwa chini ya 1000 tshs,
unajua hizo 190000 ni zaidi ya 6000 kwa siku?acheni kukatisha watu tamaa kama unaona hazikutoshi na huzihitaji kuna watu kibao mtaani na vyeti vyao wanazihitaji hizo,
mnaboa kweli kwa ubwege wenu wa kujiona ukishakuwa na kagari basi unataka kila mtu afanye kazi ya kumuwezesha kununua gari kesho ili aendapo kazini awe na kausafiri kake,
Wala usiwe mkali kaka, kila mtu ana mtazamo wake, na ana uhuru wa kuweka maoni yake. the bottom line is mshahara ni kidogo. full stop. sasa whether una aplly or not , it depends na situation uliyo nayo, hakuna aliyemkataza mtu kuomba kazi na kama hata ukikatazwa au kushauriwa usiombe, una utashi wa kukubali au kukataa ushauri. acheni attacks zisizokuwa na msingi.
 
nice post
but means ambao hatuna vyeti hatuko on the position to apply?
mi nna transcript watani consider?
Kama ni transcript mkuu omba ila kama ni provisional or statement of results usithubutu.
 
ungejua thamani ya hiyo 190 kwa mtu aliyekaa kijiweni na kukosa hata hela ya mlo mmoja usingeleta mifano yako ya mafuta ya gari kwenye nchi kama hii ambayo zaidi ya nusu ya wananchi wake wanaishi kwa chini ya 1000 tshs,
unajua hizo 190000 ni zaidi ya 6000 kwa siku?acheni kukatisha watu tamaa kama unaona hazikutoshi na huzihitaji kuna watu kibao mtaani na vyeti vyao wanazihitaji hizo,
mnaboa kweli kwa ubwege wenu wa kujiona ukishakuwa na kagari basi unataka kila mtu afanye kazi ya kumuwezesha kununua gari kesho ili aendapo kazini awe na kausafiri kake,

Mkuu heshima mbele, hapa tunajadili hoja sio kuleta matusi. Jibu hoja kwa hoja, heshima kitu cha bure kabisa!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom