Outings na mwanaume wa hivi ni uchafu

Outings na mwanaume wa hivi ni uchafu

Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.

Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.

Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
ww ni miongonk mwa omba omba aka mjukuj wa matonya
 
Usipokuwa makini hela yako inawezapangiwa matumizi Aisha Komwe
 
Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.

Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.

Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
Okay nilitaka kujua baada ya hapo bili analipa nani?
 
Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.

Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.

Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
Sku nyongne ujinga wa huko daslam ustuletee hapa ,Hao wanaume hawawez kula ugal wa udaga au mtama au wakikosa vyote hi yo wale ugali wa Dona??
 
Analipa yeye au unajilipia wewe??
Maana isije ikawa maelezo meeengi kumbe umetolewa out na huchangii hata 10 mbovu
 
Back
Top Bottom