Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,919
- 25,187
Tafut mumeTafuta pesa😂
Tafut mumeTafuta pesa😂
Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.
Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.
Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️
Kama hatumii muache na anachotumia usimsengenye. Maisha yenyewe mafupi haya.Hatumii
Bora umerudi
Njoo huku, usome comments ujifunze, usipitwe 😂 😂Bora umerudi