Outing zinasaidia

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,733
Niko ugenini hapa kwa wkend na chura matata tunapata moja mbili tatu...huku tukiutukuza uumbaji wa muumba;leo ni kazi moja tu kula,kunywa na kuchezea mashine.Na hii baridi ya huku si mchezo.Mara moja moja kutoka si mbaya,sio muda wote kuwa siriazi kwa utafutaji wakati pesa hazijai.
 
Ajabu ya JF tunaweza kuwa wote na mleta mada hadi usiku wa manane

Asa sijui mashine ataichezea huku umeshika simu
ha ha ha nimeshapiga vitatu mkuu....sasa hivi ni mapumziko,karibu tupate maji ya dhahabu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu unaweza kuwa zako ghetto muda huu na simu yako huna uhakika hata hivyo vitatu utavipigia kwa nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ha ha ha ningeweka video hapa ila nawasi wasi unaweza ukalowana,pia sheria za mtandao haziruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…