HahahahIβll go with the flow and say I love you more and most.
mmmh!
[emoji3][emoji3][emoji3] Unamuacha ajihukumu mwenyewe au sioKama unatumia smartphone una screenshot unamtumia.
Halafu husemi kitu.
Hapo njia rahisi ya kuconfirm kama alikuwa anachat na girl mwenzake ni kuona mtiririko wa chats zao na muda.Km unauhakika, meseji yako ya I love you'.... Alikujibu on Time......
MADEMU WANAITANAGA MAJINA HAYO HONEY, SWEET, DEAR.....what if kama alijibu meseji ya demu mwenzake ????
Anyway, nikikazia Hisia zako then iwe ivi ;-
Kaa kimya .,, Leo, kesho, kesho kutwa ,kesho yake tena ..
Kaa kimya !!!........Tu mpaka akuanze !!! .
Alafu nn, mambo km HAYA huwa yanabadilisha moyo. Toka udhat mpaka uchezeaji.
Binafsi nimchunguzi sana, nikishaconfirm kua haikua yangu,,,
Sitomuacha ghafla, naanza kumuonyesha nampenda sanaaaa yaan sana, fulu mazaga mazaga ,indoors and outdoors funny , naendelea kula mzigo ,WAKAT HUO NATAFUTA KADEMU KENGINE ,,baadae nikikata ninakata kama umeme .... Akiuliza, ndo namwambia ' nmeamua kuachana naww sababu umetupanga folen ,ushahidi ni ile meseji. Sikusamehee wala sikusahau ila nilikua nautumia huo muda, kumtafuta tunaeendana !!!.
Kwa style hiyo siutaogopa hata kumuuliza?Ninzur, ila hii km demu anampenda uyo mwingine kuliko mtoa mada.
Demu anaweza MPA JIBU LAKIBABE MTOA MADA ,,tukasikia MTU kajinyonga.
Eg ( Ndio nilikua namtumia Mwanaume wa maisha yangu , amua lolote unalotaka) π π π utajiona worthless
TUSISAHAU, HAWA VIUMBE WANA UWEZO MKUBWA WAKUKUFANYA UJIONE HUFAI BILA HATA KUKUGUSA .
Sitoweza kunyanyua mkono wangu kupiga mwanamke. Kwanza case kama hii bila hata kupigana ukweli utaujua tu.π π wanajitiaga wenyewe ndo watu wasoelewa .
Ungekua wewe aiseee nomaa sana !!
Nahapo kujua km ni mdada mwenzake ndio kazi sana unless uibebe kiume kua ni ya like kwendaa Kwa kike..
Ila daaaaahh uanaume wa ivo sometime ni Uboya.
ZUGA ,zugaaa, mkutane jioni, kaaa naye chemba, Ongea kiume, kaza saut, kunja sura, mtishie vibao, ATAKUAMBIA UKWELI.